Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. MICHUZI WE KIBOKO! TUNAKUKUBALI...

    ReplyDelete
  2. Hahaah nimefurahi kuona watanzania tunashirikiana kwa jambo kama hili mpaka raha, Ila ISSA MICHUZI kumbe kweli hii picha inaonesha umepiga ulikuwa upande wa "KAJAMBA NANI" ticket yako ya sh 3,000 usijali WADAU na msumbiji tutakuchangia inshaallah mungu ibariki taifa stars mungu ibariki tanzania. tuko mbali ila ISSA MICHUZI naomba kwani simu za video wewe huna? uweke youtube kidogo tuone wanavyoshangilia.

    ReplyDelete
  3. Hii Michu imetulia! Mtu kibao ! duh, kama ni pre ni hivyo, je hiyo siku ya siku itakuwaje?
    Hongera Stars kwa ushindi, noa forward, na imarisha beki. Black Mambas lazima wanywe maji. Ushindi ni muhimu. Aluta kontinua....mapambano bado yanaendelea

    ReplyDelete
  4. Mwingi North MP Kalonzo Musyoka on being nominated to vie for the presidency in the next General Election ODM Kenya ticket, stated, inter alia, “We will consign corruption to history and make the late Tanzanian president Julius Nyerere’s assertion that the grounds of State House are sacred, a reality.”

    ReplyDelete
  5. Ngw'anawane hili wanja ni babu kubwa,
    linavyoonekana ngw'anawane ni kama la huku ughaibuni.

    kweli kufikia kipindi ambacho vijana wenye umri kama wako ndugu yetu misosi watakapokuwa wamechukua inji hii, tutakuwa mbali, kwani sasa tutakuwa na pa kuanzia.
    ndugu zetu wa nchumbija watake wasitake lazima walie tu.

    ReplyDelete
  6. tungoje kupigwa sindano za ganzi utakapofika muda wa kuambiwa lilipatikana GOTO kiasi gani...

    ReplyDelete
  7. Hata Waliokaa Clouds FM na Sisi Tuliokaa Radio One Nadhani Tumeona Mpira Sawa Tu!

    Kwani Kulikua Na Uvumi Wale Wa Clouds FM Au Kitega Uchumi Watakua Wanaona Kwa Mbali Sana wachezaji..Mnasemaje Watu Wa Kitega Uchumi Je Ni Kweli!!

    Izz Wa

    ReplyDelete
  8. Polisi wa Tanzania bwana!!
    Majita

    ReplyDelete
  9. sasa watanzania wenzangu tusiangushane siku si nyingi utasikia wanja halitamaniki mikojo kila sehemu, watu wamotoa pesa nyingi kujenga so nawaomba tutunze chetu jamaniiiiiiiiii

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...