Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. dah!
    hizi dawa za huyu morani kiboko mpaka mwenyewe pia zimemlewesha!

    ReplyDelete
  2. Sasa huyu Dokta asije kulala wakati akifanya opresheni:-)

    Utanifanya niwemakini au niogope kutosinzia, nikicheza katika anga zako Bro Michuzi!LOL

    ReplyDelete
  3. Herroooooooo Subhai?


    Wewe navamia fani?

    Wewe ilisa soea kutembea na ngombe,ona sasa.

    Kamongooooo umemfanya nini masaaaaaaaa anasinziiiaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  4. Aisee mkwavi biashara imemdodea

    ReplyDelete
  5. Hapo nahisi ni mnazi mmoja,pale wazee wa safari wanaenda **kununua** elfu 5 kadi za chanjo au wengine wanaamua kuchanja ki kwelikweli.

    ReplyDelete
  6. MORANI UNAHARIBU BABA!!!!! NAMNA GANI UNALALA KAZINI?

    ReplyDelete
  7. HUYO MISTA EBBO VIPI ? MPENI DAMU AU KILORITI ACHANGAMKE.

    ReplyDelete
  8. INASEMEKANA KWAMBA MGANGA HAJIGANGI.

    ReplyDelete
  9. Sijui itakuwaje ba mdogo akiamka na yeye kalala bado hapo maana jamaa wako commando hao!!!te hehehe

    ReplyDelete
  10. jamani mnamchesea mjomba wangu sio poa

    ReplyDelete
  11. njaa inauma! mimi sasa taka kula nyau.

    ReplyDelete
  12. Arooo unarara hapo hapo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...