leo basi la nanihii nimepiga pasi gari la mdau mtaa wa samora na kuleta msongomano wa hiyari

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. hivi watu hujaa kushangaa nini?

    ReplyDelete
  2. duh hiyo kali, sasa traffic waliwafanyaje hao kina nanihii maana jamaa si wanajidai wapo juu ya sheria mimi wamewahi kunichomekea vibaya wakiwa wamejaa kwenye 910.

    ReplyDelete
  3. Sasa tufanye nini kaka, maana wenyewe ndo mambo kama hayo, ama ndo ule usemi wa kunya anye kuku akinya bata kajisaidia? SHAYO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...