hapa hamna zawadi ya kuotea kwa nini mdau wa cologne, ujeremani, katuletea snepu hii...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Kwasababu ina bendera ya tanzania kwenye sanduku la upande wa kulia.

    ReplyDelete
  2. Pamoja na kuwa na bendera ya Tanzania lakini pia jamaa amepaki pikipiki yake sehemu ya baiskeli.

    ReplyDelete
  3. Shabiki wa Staz huyo mwenye hiyo piki piki

    ReplyDelete
  4. Kwa vile hapana tofauti na bongo

    ReplyDelete
  5. UNAYESEMA HAKUN TOFAUTI NA BONGO SI KOSA LAKO HUJAFIKA ULAYA...UNALINGANISHA KIFO NA USINGIZI?

    ReplyDelete
  6. qnony 11:47 pm uliza uelezwe..you don't know what you are talking....ha ha ha ha....ulaya kwako ni ndoto...wenzako tumezaliwa huko

    ReplyDelete
  7. lakini bendera ya Tanzania kaiweka kichwa kichwa chini miguu juu,hana mana kabisa.

    ReplyDelete
  8. HAPANA, HAMJAZALIWA HUKO WALA HAMJAFIKA HUKO, INGEKUWA HIVYO MSINGEFANANISHA UJERUMANI NA TANZANIA....DUNIA MBILI TOFAUTI SANA!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...