
kipenzi chetu da' shenz amezikwa wikiendi hii hapa dar baada ya kupoteza maisha kwenye ajali ya basi kule igurusi akitokea tunduma kikazi. shenaz atakumbukwa kama msanii aliyetukuka katika unenguaji na pia kama somo ambapo alikuwa mstari wa mbele kuwapa darasa kinadada wanaotarajia kuolewa.
MOLA AIWEKE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI - AMINA
RIP Shenaz.
ReplyDeleteMdau wa USA
Wewe Michuzi hebu rekebisha hapo siyo Shenz bali ni Shenaz!
ReplyDeletemasikini Dada watu mungu ilaze roho yake peponi
ReplyDeletemdau England
R.I.P dada
ReplyDeleteDa Shenaz kweli alikuwa mtu wa sanaa tutamkosa sana hasa wale wenzangu wa TCC Club siku ya Jumapili
ReplyDeleteMwenyezi mungu ipumzishe roho ya marehemu shenaz mahala pema peponi.AMINA
ReplyDeleteHakuna cha uzuri wala nini. Kila mtu atakufa tu! Alikuwa mzuri sijui nini havisaidii hata
ReplyDeleteRIP SISTER!!!
ReplyDeleteMungu ailaze mahari pema peponi roho ya marehemu Shenazi, kweli alikuwa kipenzi cha wengi AMIN
ReplyDeleteRest in peace
ReplyDeletealikuwa anawagaia watamiss sana! mugongomugongo!
ReplyDeleteDada ulinifunda wewe nakushukuru niko kwenye ndoa kwa 7yrs na still goins strong mwenyenzi mungu akurehemu Amina.
ReplyDeleteInna lillah...
ReplyDeleteMaskini dada amestirika kajipatie kifo chake kisicho na utata ni ajali basi...angeumwa kidogo mbona sasa hivi wadau ingekua mtafutano?mmh dar pangekuwa padogo.Yuo lived your life now rest in peace.Ameen
Mwenyezi mungu amlaze mahali pema na amsamehe Yote mabaya Aliotenda.
ReplyDelete