huwezi amini lakini moyo walionao wabongo kwa timu ya taifa haijapata kutokea. namuunga mkono mbunge wa kinondoni mh. iddi azan aliposema jana usiku kwamba mshikamano walionao wabongo kwa taifa staaazzz unafanana na wakati ule wa vita na nduli iddi amini. hapa hakuna cha yanga simba wala cosmo. kila mtu ni staazzzz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. USHABIKI NA MAANDALIZI TULIYONAYO KWENYE MPIRA HATA KABLA YA FAINALI YANGEKUWEPO KATIKA KUPAMBANA NA UMASIKINI, RUSHWA, UFISADI, MAGONJWA NA KUBORESHA ELIMU TANZANIA ISINGEKUWA OMBA OMBA. TANZANIA INGEKUWA MBALI SANA. JADILI. KITUO.

    ReplyDelete
  2. Michuzi, nakumbuka miaka kadhaa iliopita kuna mwanasiasa alitishiwa na kamanda wa polisi kwamba angechukuliwa hatua kali za kisheria kwa kuweka nyara ya serikali (bendera ya taifa) katika gari lake. Ndugu Michuzi naomba unisaidie kunieleza kama mkwara huo ulikua ni mizani ya kisiasa ama vipi? Je hawa washangiliaji waliozishikilia/kuzivaa/kuzitundika hizo nyara za serikali waziwazi wamechukuliwa hatua gani? Ama magazeti ya nyumbani yanasemaje kuhusiana na hili?

    ReplyDelete
  3. Kati ya nyuzi zilizodizaniwa hii ndiyo mwake(poa) kinoma.Inapatikana wapi?Tulio ughaibuni tunawezaje kuzipata hizi nyuzi?

    ReplyDelete
  4. hii ndiyo nyuzi nzuri kuliko zote,hongera kwa aliyedizaini hii

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...