mdau balthazar akiwa na watoto yatima kwenye kambi yao huko sudan

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Yaani kaimbilia kulea yatima Sudan kwani hapa Tanzania hakuna yatima? mbona hajapiga nao picha?

    ReplyDelete
  2. WE ANON HAPO JUU, KAMA KUNA YATIMA SUDAN HAINA MAANA HAKUNA YATIMA TANZANIA...NA SI LAZIMA AWE AMEKIMBIA, HAO WAZUNGU UNAOWAONA HAPO TANZANIA WANAFANYA KAZI ZA KILA AINA HAWAJAKIMBIA KWAO!, C'MON, WABONGO MBONA TUNA MAWAZO FINYU HIVYO?

    ReplyDelete
  3. yatima wakorofi sana, wamewadunda wenzao (wawili), hawana meno ya mbele

    ReplyDelete
  4. Jamani Sudan ni hapa Bongo, sio sudan nchi hicho ni kitongoji. Kama vile pale Morocco au Pale U.S.A river A-town huwezi sema ni mtoni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...