wadau wale majamaa wanaendelea na mchezo wao wa kijinga wa kutaka kuzuga watu kwa kutumia jina langu. cheki barua hiyo chini ucheke. naomba wadau ukipata kama hii achana nayo na mjibu kwa namna ambayo hatorudia tena!
Dear Sir,
How are you doing today? I am sorry i didn't inform you about my traveling to Africa for a program called "Empowering Youth to Fight Racism, HIV/AIDS, Poverty and Lack of Education, the program is taking place in three major countries in Africa which is Ghana, South Africa and Nigeria.
It as been a very sad and bad moment for me, the present condition that i found myself is very hard for me to explain. I am really stranded in Nigeria because I forgot my little bag in the Taxi where my money, passport, documents and other valuable things were kept on my way to the Hotel am staying, I am facing a hard time here because i have no money on me.
I am now owning a hotel bill of $ 1550 and they wanted me to pay the bill soon else they will have to seize my bag and hand me over to the Hotel Management., I need this help from you urgently to help me back home, I need you to help me with the hotel bill and i will also need $1600 to feed and help myself back home so please can you help me with a sum of $3500 to sort out my problems here? I need this help so much and on time because i am in a terrible and tight situation here, I don't even have money to feed myself for a day which means i had been starving so please understand how urgent i needed your help.
I am sending you this e-mail from the city Library and I only have 30 min, I will appreciate what so ever you can afford to send me for now and I promise to pay back your money as soon as i return home so please let me know on time so that i can forward you the details you need to transfer the money through Money Gram or Western Union.
Thanks.
Muhidin Michuzi.


Michuzi umezidi kutuzuga, wacha hayo wewe unajuaje kama aliyeandika barua hii ni MNIGERIA..
ReplyDeleteKila kitu mnigeria
Kaka ingekuwa wewe usingemwagika kidhungu hivyo lazima ningeona not richebo moja hivi imejificha kwenye handakizzzzz!
ReplyDeleteVipi Tido Mhando asijekusahau ile nanihii watu tunasubiri....
hahahahaaaaaaaaa what a joke!!!!!!
ReplyDeleteYaani tapeli katumia jina lako MITHUPU?? sasa hawa wanaenda tooooooooooo FAR! hawajui MITHUPU ni mheshimiwa fulani ambaye hawezi kukwama any where maana ni mtu wawatu????
ReplyDeleteThat letter is kanjanja PER SE! mtu mwenye akili timamu hawezi ku-react na kuwatumia hela hawa majambazi.
ReplyDeletemichuzi report this internet fraud so that they can be tracked, trust me might not be today or tomorrow but eventually they will ge caught
Anayewatetea Wanigeria shughuli hii hapa tena bado mbichi kabisa
ReplyDeletehttp://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/6982375.stm
HUYO NI M9GER BRO..WASHENZI KAMA NINI HAO.WANAFIKIRI KILA MTU NI WAKUMUIBIA TUU...MUNGU AWALAANIE MBALI EPR HUYO MTU ANAYEJIDAI KUWA AMEKWAMA HUKO.HANA ADABU KABISA.TAKATAKA KUTUHARIBIA GLOBE YETU.POLE SANA MY BROTHER.MUNGU YUPO ATATULINDA.
ReplyDeleteHawa watu (NIgerians) wanajulikana ulimwengu mzima kuwa ndio ma SCAM wakubwa hivyo hapa hatuoni AJABU na wala Bro. Misupu usishituke kwa hilo wewe liendeleze libeneke lako la kutuletea mavituzzzzz maaanake HUNA mfano mpaka sasa.
ReplyDeleteNa huyo Anony wa September 6,2007, 9.17.00 PM EAT, aache NYODO zake kwenye hii BLOG. Maanake mimi sijaona sehemu yoyote ktk ujumbe wa hapo juu wa Bro. Misupu alipotaja kuwa huyo jamaa ni MNAIJERIA, bali yeye katutahadharisha kwa kusema HAWA MAJAMAA. Hivyo huyo Anony niliyemtaja akiwa anasoma kitu anatakiwa asome kwa uangalifu (you read between lines !!!!) na sio KUROPOKA kama alivyofanya.
Huyo ni M9jeria jamani au hujasoma meseji??? Anasema amekwama nchini Nigeria ili akikupata utume pesa Nigeria. Bila shaka kuna wageni wa mtandao ambao bado wanalizwa kwa staili hii.
ReplyDeleteMISUPU WEWE MWEUPE WANAOCHEZA NA PC HADI KWENYE UTUMBO WAKE, WATAKUCHEZEA KWA SABABU GLOB HII NA MAMBO YAKO MENGI HAYAKO-SECURED. BADO KUIBIWA MKEO TU SASA.
ReplyDelete