KWA MUJIBU WA REDIO MBAO TIKETI KARIBU ZOTE KWA AJILI YA MECHI YA TAIFA STAAZ NA MSUMBIJI INASADIKIKA ZIMEISHA, KWANI HAZIPO. KUNA WADAU WAMEONEKANA WAKINUNUA KWA WINGI NA KUTOA HARUFU YA ULANGUZI HIYO KESHO NA KESHO KUTWA. KAZI IPO...
Home
Unlabelled
TIKETI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
hiyo yote tisa, kumi pale kwenye kuhesabu mapato...mechi ya juzi na uganda bado watu tunaona kizunguzungu...we are told zimepatikana 230mil. ...ambapo kuna aliyetaka 'kununua mechi' for 300mil. wakakataliwa...sounds like gambling...hiyo mechi ijayo na mozambiki kuna washefa wengine wametaka nunua for another enormous figure...wamekataliwa TENA...is it to say that hawa jamaa wenye 'mechi yao' do not mind HASARA?...wajinga sisi...
ReplyDeleteKwa kweli kadri zinavyozidi kwenda, ndivyo ninavyostajabishwa na tabia za baadhi ya Watanzania wenzangu. Kwa suala la tiketi nimeumizwa sana na wajanja wachache mno ambao wanajipatia mamilioni kwa njia za magendo. Watu wamenunua tiketi zaidi ya mia moja kwa mtu mmoja halafu wanakuja kuzilangua mitaani. KWA KWELI TFF mje kutueleza kwa kina kabisa kwa nini wameruhusu hali hii itokee!!
ReplyDelete