barabara za dar si magari tu yaliyo mengi bali pia madereva watemi. jamaa mwenye ki rav 4 alikatiza boda kukwepa foleni na kukutana na magari yanayoenda alikotoka. kuambiwa apishe akaleta utemi. na mwenye shangingi naye kumbe mtemi. ilikuwa raha ya aina yake na hadi naondoka sehemu ya tukio jamaa alikuwa bado kadindisha na mwenye shangingi akawa anakula naye sahani moja...
Home
Unlabelled
utemi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
bongo kwa utemi!watu hao nao hawana kazi?
ReplyDeleteHahahaha Muchuzi Lugha hiyo usituharibie swaumu. Utemi muhimu na huwa unasaidia wakati mwingine.
ReplyDeleteHivi kumfanyia/unyesha utemi mwenzio si ndio bully....
Usherekeaji mzuri wa kutimiza aka 2
Nisaidieni wajameni: "Kudindisha" ni tusi au msamiati wa kawaida tu?
ReplyDeletekudindisha kwa kweli ni tusi!ni pale wewe unapotaka ''kuwasha'' kibiriti ili ''utie'' moto
ReplyDeleteISSA KUMBE HUYO DADA MWENYE HIYO GARI NDOGO KUSHOTO MNAFAHAMIANA, NIPELEKEE SALAMU ZANGU.
ReplyDelete"Kudindisha" siyo tusi,bali ni kusimamisha.Ukiona kitu kimesimama ujue kimedinda.Kama mtu ana hasira na zimemsimama ujue amedindisha na situation hiyo.Hahahahahaha
ReplyDeleteHaya wewe mwenzetu Dinah unayesikia tu mtu kadindisha kwenye ugomvi wa Rav 4 na Shangingi unaharibikiwa swaumu yako kulikoni?????Yani ni kudinda tu au kuna lingine.Kaaaazi kwelikweli.Nakumbuka wakati fulani tukiwa shule Tanzania wanafunzi wa "Kiume" wa Msalato walikuwa wanapata ugonjwa wa kupiga kelele wasipopewa uji wa mgonjwa.Vipi Dinah mdogo wangu,unahitaji ji wa mgonjwa nini??Tunaogopa makelele.
Majita