simba wa vita na mama yetu walikuwepo neshno jumamosi

rais wa zanzibar mh. amani abeid karumealikuwe mgeni rasmi. kulia ni ndugu marcelino dos santos, mnamkumbuka?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Michuzi, naomba utupe majina ya maduka yanayouza hizi jezi za taifa Stars tunataka tutese huku ughaibuni na rangi zetu za taifa.....

    ReplyDelete
  2. Hizo track suti zinapatikana wapi na ni bei gani?

    ReplyDelete
  3. Michuzi nasikia huyu bwana karibu ataachia ngazi kwani timu imemshinda,manake hakuna matokeo yoyote mazuri kwani ushindi wake umekuwa wa kubahatisha tu,kama utafuatilia mechi zote ambazo taifa star imecheza hajui kupanga timu,labda anafanya usanii tu kwa kutumia uraia wake wa huko Brazil na sio wote wabrazil ni makocha.Shida ya timu ya taifa ni maandalizi sasa iwapo tutawasaidia makocha wetu wazalendo bora tuwape timu tuokoe hizo pesa nyingi anazolipwa.

    ReplyDelete
  4. Track Suit hizo zinapatikana kwa Tippo-ZIZZOU FASHION SINZA AFRICA SANA...

    ReplyDelete
  5. Wazo la muhimu sana. Tunaomba kujua hizi track zinapatikana wapi? Maana siku hizi Watanzania uzalendo tunaupenda sana siku zote wakwanza huwa wamwisho na wamwisho huwa wa kwanza.

    Please michuzi ni jambo muhimu sana hizo track maana watu wa matawi ya juu tu ndo wanavaa sasa sijajua ni toleo la serikali au vipi

    ReplyDelete
  6. Mdau hapo juu uliyesema kuwa Maximo anataka kuachia ngazi... sasa sijui wewe ni kijana au mzee? ikiwa mzee ni sawa, lakini kama kijana ningependa atleast questioning your education background... walau high schoool, sababu kwa maoni uliyotoa unaonyesha kuwa huna upeo wowote. Nadhani in general ingawa sipo Tanzania, Maximo amefanya mambo makubwa sana kwa mwaka huu mmoja, hacha hoja za kwenye kahawa ndugu yangu.

    ReplyDelete
  7. dos Santos namkumbuka, huyu jamaa alikuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya Frelimo, na alionekana sana kwenye msiba wa Samora. Ni chotara wa Kireno na Kimachinga na mwanasiasa mkongwe Msumbiji. Alidhaniwa kuwa angekuwa Rais wa Msumbiji lakini fitna zikamtibulia mara mbili hivi. Ni moja ya watu wanaoiheshimu Tanzania sana na anaiona kama nchi yake ya pili ama tatu hivi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...