watani wa jadi wameshampa angola 2-1 na wakwe wameshambenjua niger 3-1. bado sisi hapa neshno ambapo mtanange unaanza saa mbili shapu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. mbona huyo jamaa hapo anali hata match haijaanza.

    ReplyDelete
  2. Huyo anaelia ni Chado Mwakapola mzee wa zege.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...