Home
Unlabelled
vitabu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wadau mbona hamtoi maoni ikiletwa picha ya tamasha la vitabu?Ila hii ingekua picha yangu au ya Kinje mngeosha midomo sana sawa bwana.
ReplyDeleteMhh hapo watoto walio kwenye banda la vitabu ni wachache walio nje ya banda ni wengi inakuwaje hapo?. watoto wetu siku hizi wanapenda sanaa kama kuwa Miss Tz,uimbaji, bora Taifa Starz ifanye vizuri waige mpira ndio soko zuri la sivyo lazima tuwafanye wajue kusoma mie sioni miss tz ni dili zuri kwa watoto wetu wa kike yote ile biashara kwa wanaotaka pesa kwa kuwatumia binti zetu.
ReplyDeleteLahusu elimu ya sekondari:
ReplyDeleteCha kuuliza ni hiki: Je, $100,000,000 zilizokwisha kutolewa tangu 2004, zimefanya yapi na kuleta mabadiliko gani kuongeza nafasi za shule za sekondari, kuboresha matokeo ya elimu hiyo, na kudhibiti uendeshaji wa elimu ya sekondari katika Tanzania yetu?
Sasa tumeongezewa fungu la mwisho, kama ifuatavyo:
DAR ES SALAAM (AFP) - The World Bank has granted Tanzania 50 million dollars (37 million euros) to help the east African country in a drive to boost educational standards and school enrolment levels, the World Bank Tanzania and Uganda chief John Murray McIntire in a statement said on Wednesday (of this week).
Taifa letulenye idadi ya watu “36-million-strong country has an estimated adult literacy rate of 80 percent and education has been one of the priorities of the government, which allocated it 18 percent of its 4.7-billion-dollar budget for 2007-2008.”