miss universe tz 2007 flaviana matata akipozi na wadau wa kampuni ya proin alipowatembelea

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. MH! Watu wengine bwana, sasa hiyo mijikono yenu kuizungushia kwa huyo bint ndo nini? Ana mwenyewe huyo!!!!!

    ReplyDelete
  2. Yaani wewe umeona vijana wajenga nchi kuzungusha tuu mkono unaona issue ehhh je wangeshika???
    Ndio tunajua kama anamwenyewe ndo maana hao wamejizungushia mikono tuu,ata ingekuwa wewe mi ninavyokujua ungefanya ivoivo,acha wajipe raha wenzio ebo!!Wivu tuu

    ReplyDelete
  3. mikonozzzzzzzzzzzzz

    ReplyDelete
  4. Hivi huyo ni miss universe au ni mshiriki kutoka tz wa shindano la kumtafuta miss universe?

    ReplyDelete
  5. Hii kampuni haina hata mwanamke mmoja? basi mpeni kazi huyo miss Universe.

    ReplyDelete
  6. Flaviana tuma habari zako Trump Model Management New York.

    http://www.trumpmodels.com/contact.asp

    ReplyDelete
  7. MFADHAIKOZZZZZZZ...

    ReplyDelete
  8. MH! Jamani enh! Kwani hawa jamaa wameambiwa kila wakikaa na demu lazima wamwekee majimikono! Nyie si mmeoa nyie ebo!!@! Mxchxshxchhhhh!!!! Mnanikera mie mntamfanya huyo mdada ajione bomba kumbe wa kawaida tu na demu wangu kamzidi kinoma

    ReplyDelete
  9. Proin ni pia Kampuni ya Johnson Lukaza. Kernel kampuni pia yake

    ReplyDelete
  10. Anony 10:26:00
    Nani kakuuliza jina la mwenye kampuni?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...