Rais wa Zanzibar na Mweneyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Amani Abeid Karume akisalimiana na Mkuu wa Majeshi Gen. George Waitara ambaye amefika Ikulu Mjini Zanzibar leo kuja Kuaga. Generel Waitara anatazamiwa kustaafu hivi karibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Mkuu wa majeshi mpya lazima atakuwa muislam
    DUME

    ReplyDelete
  2. Kwani kuna tatizo gani mkuu wa majeshi mpya akiwa muislam? Cha muhimu ni uwezo wake kiutendaji na si dini!

    ReplyDelete
  3. HAKUNA MKUU WA MAJESHI ANAYEKUJA SIYO MUISLAM ATAKUWA MUHINDI TENA KAMA SIKOEI ANA PANJU PATEL

    ReplyDelete
  4. Wabongo wengi mbona mmedata vipi? Vichwa mdebwedo? Ubaguzi kwa kwenda mbele. Huyu naye kaanza udini, mnataka kutupeleka wapi? Kama mmechoka na maisha hebu mkajitundike! Mkome na mkomae na mibaguzi yenu! Mlegee!

    ReplyDelete
  5. Huyo anony hapo juu lazima atakuwa ni mkristo tu!! yaani majungu mengi sana.Akichaguliwwa Muislam basi ni habari!! yaani ni sawa sawa na Mtu kumng'ata Mmbwa!Na kwa taarifa yako atakuwa ni Muislam sasa tuone kama utakunywa sumu....

    ReplyDelete
  6. JWTZ SIO USALAMA WA RAIA, HIVYO USITEGEMEE KUBUNIA BUNIA UJINGA WAKO WA DINI, KABILA NA RANGI. HUNA MAANA WEWE!!!! UNAEWAZA MAMBO YA DINI

    ReplyDelete
  7. ...DHAMBI YA UBAGUZI ITAWAANDAMA TU HAIWEZI KUWAACHA...mtaanza kwa kusema wale ni watanganyika , sisi ni wazanzibari, haitaishia hapo mtaendelea kusema SISI NI WAUNGUJA NA WALE NI WAPEMBA, kana kwamba haitoshi mtaendelea kusema sisi ni weusi wao ni wahindi, mtaendelea, sis ni wasukuma na wao ni wahaya, mtaendelea tu, wao ni waislamu sis ni wakristo... Inawezekana wangi wanaochangia humu wakati Mwalimu anatoa hotuba yake iliyokuwa na ujumbe unaofanana nahuu walikuwa wananyonya nahsauri wakatatute hata cassetes kwa machinga zipo zinauzwa bei poa, tumechoka na fikra zenu zisizokuwa na kichwa wala miguu.

    ReplyDelete
  8. HIVI NYIE MNAOWAZA MAMBO YA UDINI, MNADHANI MKUU WA MAJESHI NI ANATAKIWA AWE IMAMU AU PADRI WA JESHI?
    NOENI FIKRA ZENU HII BLOG HUTEMBELEWA NA WATU WA NCHI TOFAUTI INAWEZEKANA TUNAJIONYESHA NI KIASI GANI TULIVYO WAJINGA

    ReplyDelete
  9. mdini,mbaguzi na mlozi/mchawi wanafanana.Tatizo hawana nafasi kwa TZ ya sasa.This is bongo flava generation and not bakulutu generation.
    CHA CHANDU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...