hata watasha ni mashabiki wa taifa staaz...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Warusi hao waloolewa na wabongo
    haya wazalendo,uzalendo mmeuona huoo??
    DUME

    ReplyDelete
  2. Wazungu wazalendo maana wako kwenye hiyo ardhi,je Dewji?Haka kauzalendo kamemshinda?

    ReplyDelete
  3. Ukweli Uwanja unaleta hamu ya mtu kwenda kuangalia mechi. Wenzetu hao wanapenda fotboli ila tu, kale kauwanja kilikuwa kinaboa

    ReplyDelete
  4. Haya na hawa wazungu nao waje wakashindanie miss Tanzania 2008..ole wao,,mwakani hata kwa ganga tutaenda,,haiingii ngozi nyeupe kwenye mashindano...FULL STOP.

    ReplyDelete
  5. NYIE MAKABURU WA KITANZANIA, MBONA HAMUWAAMBII HAO WAZUNGU WAVUE HIZO T-SHIRT ZA TANZANIA?
    AU KWA VILE HAPO HAKUNA KA-RAV 4?

    ReplyDelete
  6. acheni ubaguzi huo ni ubaguzi wa ukabila nyerere alisema tusiulizane dini na ukabila nchi yetu ni changa mimi watoto wangu ni wazungu weupe waqkikua na kutaka kugombea u miss haiwezekani? acheni wivu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...