
tamasha la wiki ya vitabu linaloandaliwa kila mwaka na baraza la maendeleo ya vitabu (bamvita) limeanza jana na litaandaliwa katika vituo mbalimbali 16 katika maktaba za mkoa na wilaya sehemu mbalimbali nchini. juu ni banda la iran na chini ni banda la habarileo na daily news katika viwanja vya karimjee, dar
.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...