kwa watani wa jadi mwaka 1993 kwenye semina ya kupiga vita ukeketaji

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. ukeketaji ndiyo nini tena?

    ReplyDelete
  2. Ukeketaji unawahusu nini?Wapeni watu uhuru wa kuendelea na mila zao walizokua nazo karne na karne.Mimi nimekeketwa na ninapenda sana na wanangu lazima wakeketwe.

    ReplyDelete
  3. Bro michu enzi hizo ulikuwa unaogopa Mikonozzz nini? mbona umekwepa mikonozz ya mamaa pembeni hapo?

    ReplyDelete
  4. ukeketaji ndio nini? Naona anony huyo hapo juu amekeketwa na wanae watakeketwa ...jamani ndio nini? Si ajabu hata wengine labda tumekeketwa lakini hatujui kwa vive hii terminology ni mpya kwangu

    ReplyDelete
  5. YAONE KWANZA BADALA KUFANYA KAMPENI ZA KUSAMBAZA MAJI VIJIJINI,KUTOA ELIMU YA AFYA KWA AKINA MAMA WAJAWAZITO WA VILLAGE ETI YAPO AGAINST UKEKETAJI.MAJITU MENGINE BWANA.OVYOOOOO KAMA MCHUZI WA JOGOO USOKUWA NA VIUNGO.KAENI MKIJUA KUWA UKEKETAJI HAUNA MADHARA YOYOTE BALI UNA FAIDA,SI MNAONA WATOTO WA KIKE WASIOKEKETWA WANAVYOWASHWA.KILA WAKATI WANACHEMKA TU, WANAHITAJI MTU KILA WAKATI.. NA NDIO NGOMA INAZIDI.KAZI KWELI KWELI.ANGALIENI ULAYA WASIHAMISHIE KILA TAMADUNI ZAO KWETU.HAPA NI BARIDI SANA NA KWETU JOTO SAFI KINOMA BILA KUWAKEKETA MABINTI ZETU TUTAWAPOTEZA WOTE NA NYEGE ZAO.
    JITU-AUSTRIA

    ReplyDelete
  6. hata sielewi mie

    ReplyDelete
  7. FGM...female genital mutilation

    ReplyDelete
  8. ok kwa hiyo ukeketaji ni FGM? (I didn't know) Kama ni hiyo jamani huo ni unyanyasaji wa wanawake. Mimi nimepitia hiyo FGM ina side effects nyingi saana kweli hata mimi nawaunga mkono hao. At least 30% ya wanawake Africa tumepitia hiyo na we are the victims na siyo kuendeelza cultures zetu. Wanawake wote Africa lazima tupinge mambo ya FGM yasiendelee kwenye generations zinazokuja.

    ReplyDelete
  9. Oh please kumbe kukueketwa ina maana hiyo? Jamani bongo kuna watu bado wanafanyiwa hivyo. Oh Mungu wangu madhara ni mengi sana tu. Wewe uliyekeketwa na ukazaa vizuri Mshukuru Mungu wako. lakini ndio maana hata wanawake wengine wanakufa wakati wa kujifungua kwa vile ngozi inakua kavu sana elastic inakua ndgo sana.

    Elimikeni...wewe unayepongeza hoja hii kwa sasababu zako za kiutumbo ndio nyie walawiti wa roho za watu mchana.

    ReplyDelete
  10. Loh! Michuzi kumbe ulikuwa handsome hivyo.

    ReplyDelete
  11. waliokeketwa watamu sana majority hawana maji mengi i love them than ambao hawakeketwa maji kibao halafu wana viherehere sana kwenye mamboz na watu mkumbuke nyege za wanawake sio clitoris tu wanawake wana mambo mengi sio kukisugua kile kitu ndio anakojoa,hii ishu labda kwenye kuzaa ndio soo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...