Salama Michuzi. Mi mdau Aeisha kutoka Canada, napenda kuwatakia watu wote duniani eid njema na mwenyezi mungu awape uzima,uhai , afya na furaha ktk maisha yao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. hi Aesha asante kwa salaam za eid nawe pia nakutakia sikuku njema bless Mtukwao

    ReplyDelete
  2. Hehehe, mtoto wewe!!! mwezi mtukufu huu ushungi uko wapi? na wewe eid njema.
    dadio hapa.

    ReplyDelete
  3. Eid mubarak kwako pia shosti umependeza dada.

    ReplyDelete
  4. We mtoto unatuharibia mfungo wetu dakika za mwishi mwisho. manake ulivomrembo hadi unantamanisha na kutamani vya watu si ni zambi?

    ReplyDelete
  5. watu wanafanana jamani, kafanana na MH.AMINA CHIFUPA. Samahani dada, sikuchulii jambo lolote.

    ReplyDelete
  6. CANADA AEISHA HAPA TZ DA AISHA,UTURUKI AYSE YOTE BOMBA TU.
    KILA LA HERI EID NJEMA DA AISHA.
    HALAFU NYINYI WADAU MNAODAI KUMTAMANI BINTI WA WATU NAAMINI
    YUPO SINGLE HUYU.NYINYI MWAMBIENI
    KAKA MISUPU AMUULIZE THEN ANAWEZA KUWA MSHENGA BAADAYE.MISUPU HANA
    MNDENGE WA WATU.AISHA NA WEWE HEBU
    TUELEZE UPO SINGLE AU ''OCCUPIED''
    ANGALIA USIJIZIBIE BAHTI WAKATI
    WATU SERIOUS TUNATAKA WACHUMBA
    KILA LA HERI

    ReplyDelete
  7. na USA ni ayeesha weweweeeeeee....hongera na wewe kwa kufunga achana na watu wanaotaka ushungi ...Dini rohoni kwako bwana....

    ReplyDelete
  8. AISHA HAJAOLEWA ANATAFUTA MCHUMBA..wadau Biashara matangazo.

    ReplyDelete
  9. NIMEVUTIWA@YAHOO.COM

    .... tuwasiliane , duh !

    ReplyDelete
  10. MAMAAAAA UNAAMBIWA MTOTO KAPENDEZA
    KAMA NINI..HIVI JAMANI NGOZI NYEUSI
    IKIPATA MATUNZO KUMBE INAKUWA SAFI
    NAMNA HIII.SASA NATAFUTA CONTACT ZA DA AISHA.MAANA BAHATI HUWA
    INAKUJA KIUTANI TANI NAMNA HII
    MARA MTU UNAPATA JIKO.EBO KAZI
    KWELI KWELI.MICHUZI EE NTAKUANDIKIA KWA SIRI MAIL AU NTAKU-CALL TUONGEE ZAIDI KUHUSU
    AISHA.MIMI NIMEKUFA HASWAAAA KWAKE

    ReplyDelete
  11. Haha haha Leo Ya kwanza Sina Lakusema ila ngoja nishakumbuka shukraan bi Aisha nawewe EID njema inshallah uile kwa kheir uimalize kwa kheir ameen ..huYu Jamaa mbona anamaneno Yamipasho mwanafunzi wako nini huyo anonymous Naona kama anauhasama na wewe anakuona unangara Mashallah anataka kuleta uswahili.... bye mchizi wako ADnaboY nakufagilia hadi kufa ..bYe

    ReplyDelete
  12. ahsante bi aisha Eid njema nawewe na kwa sote tuliojumuika ktk mwezi mtukufu ameen ... huYu jamaa saidi ndio nani mbona Yupo kama mwanafunzi wako hihi hihi anauswahili au ndio anakuonea Donge mchizi wako ADnaBoY nakufagilia hadi mwisho waulimwengu..

    ReplyDelete
  13. Iraq ni AICHA,Jamani mtaoa wangapi mimi huyu nimchumba wangu tuheshimiane jamani nimemtoa mbali,atakufa mtu.

    ReplyDelete
  14. Alaa jamani nishakua mchumba wa mtu tena? Mbona baba angu ajapokea mahari bado lakini@October 11, 2007 8:59:00 AM EAT,.....ahsanteni kwa comments lakini i feel the looooove.

    NA WE October 11, 2007 1:01:00 AM EAT, Mtoa Maoni: Anonymous WIVU UACHE KAMA NINGETAKA MCHUMBA AU KUTAFUTA SOKO BASI NINGEMUANDIKIA HIVYO MICHUZI. Watu wengine Ovyooo

    Much luv n respect

    Ya Gal Aeisha

    ReplyDelete
  15. Hyu kwetu ataitwa KOKU Tu..reception hiko shwari,hofu yangu ni foundation..if u know what i mean mr michuzi

    ReplyDelete
  16. waafrika tuna lips nzuri kushinda wazungu!! si unazicheki za aisha!

    ReplyDelete
  17. Mchumba wako, watu wanakusaidia. Usiwe na wasi*2

    ReplyDelete
  18. Hahaha Eti "Koku" ah jamani umeskia mie mchaga tena? Kokubelwa Tehehe sasa usipo mjua mchumba wako ktk dunia ya leo ni haki hiyo jamani? Si vizuri. Haya nishapata wachumba naona mnataka kumfanya Michuzi awe mshenga...lazima wakulipe haaaaao Michuzi

    ReplyDelete
  19. Basi bwana kama ni mchagga basi natoa timu na kubwaga manyanga pwaaa!! Siyo kwa wasiwasi wa foundation, hapana! Ila mmhh mmhh hata kidogo! Kwaheri Aeisha, pata wa kwako wa milele.

    ReplyDelete
  20. hehehe!!! si mchezo..Eid njema na wewe pia sweety.pozi hilo mdogo wangu..sisemi..naona wachumba kedekede. ADnaboy umejificha wapi kwani? huonekaniki.

    Much love
    Safia

    ReplyDelete
  21. Hehehe October 11, 2007 7:28:00 PM EAT, Mtoa Maoni: Anonymous@ jamani sijasema mie mchaga baba angu....hahaha shimboni. Nah sir mie sio chaga even tho i respect em alot.

    Dada anguuuuu naona mwaka huu tukate sare za harusi kabisa manake wachumba kudekude hahaha haaaalu.

    ReplyDelete
  22. DEAR DA AEISHA,HOPE YOU ARE DOING
    FINE IN CANADA.NAOMBA TUWASILIANE
    KATIKA king_nuh01@hotmail.com
    NINA MENGI YA KUONGEA NAWE.HOPE
    YOU WILL KEEP IN TOUCH
    SAMMY

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...