mkuu wa majeshi jenerali davis mwamunyange (suti ya kaunda) na naibu waziri wa mambo ya ndani mh. lawrence masha (suti na tai) na waombolezaji wengine wakitoa pole kwa wafiwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Pole sana sana Yolanda pamoja na familia yako bila kusahau ndugu jamaa na marafiki.Kazi ya Mungu haina makosa,BABA MUNGU ALITOA NA SASA AMETWAA!la muhimu na kumuombea marehemu mama yetu alazwe mahala pema peponi.Amin

    ReplyDelete
  2. Tatizo ulilonalo mzee Michuzi hufafanui who is who!!!???kama hapo kwenye picha hata sijui yupi ndo Generali wa majeshi kwani watu wawili tofauti wote wanaonekana wakitoa pole.Tafadhali tuweke sawa sisi ambao hatupo nyumbani.

    ReplyDelete
  3. Mwamunyange ni huyo anaetoa mkono wa pole huyo mingine lau masha mbunge wa mwanza alieahidi mwanza itakuwa kama marekani!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. We anony hapo juu in maana kuwa nje ya nchi hata Kaunda suit huijui???
    Acha umbumbumbu!!

    ReplyDelete
  5. Bora umesema wewe anony maana huyo waziri na group yake ya kina Magai wanafanya mambo ya ajabu kama vile starehe zinaisha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...