ndugu zetu wa answar sunnah wakiswali iddi el fitr asubuhi hii jangwani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hivi hawa wana matatizo gani hawa?
    Kaka Michuzi na wewe Answar Sunna?

    ReplyDelete
  2. Ndugu yangu hawana matatizo yoyote hawa wako sawasawa leo Eid hata huku UK tumeswali leo.

    ReplyDelete
  3. mambo ya technologia haya....miaka hiyo ya telegram watu walikua wanajua haya?
    Sasa hivi mtu yuko huko uarabuni within a second habari zinafika bongo...ndio haya....

    ReplyDelete
  4. Jamani hata hapa Uholanzi tumeswali leo. Nasikia hata Rwanda na Uganda pia watu wameswali. answar Sunnar kwa hili wako sahihi. Viongozi wetu waliangalie hili.

    ReplyDelete
  5. binadamu wote ni sawa na kila mmoja ana uhuru wa kuabudu anachokiamini kwa namna anayoamini yeye alimradi haingilii uhuru wa mwingine!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...