mdau katuletea atm ya kondomu aliyoiona venice, italia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Issa bongo tunahitaji sana atm kama hizo kila kona jijini Dar

    ReplyDelete
  2. hizo nyingi tuu huku majuu hata za always zipo ntatuma picha

    ReplyDelete
  3. Bro Michu, hiyo siyo ATM..ATM ni ya mambo ya fwedha..Hiyo inaitwa..."Vending Machine"..Zipo za kuuza sigareti, dawa kama penadol,Big-G, vitafunwa kama crips,n.k

    ReplyDelete
  4. Ingetufaa sana bongo,wajua ile 'ABC' baadhi tunashindwa kwenye A na B (kwa sie ambao hatujaoa,labda na kina dada pia, sijui?),sasa kwenye C,'use a Condom' baadhi tunaona noma kununua kwenye maduka unasubili hadi giza liingie ukanunue 'stock' ya kutosha uhifadhi 'gheto' sasa inakua kaazi kwelikweli.

    ReplyDelete
  5. Brother hiyo poa sana na kama ikija huku Bongo naamini itasaidia sana kwa kiasi kikubwa kupunguza kasi ya maambukizi ya Ukimwi na magonjwa mengine ya zinaa.
    Unajua nini brother watu wengi, hasa madingi madingi wanapenda sana kutumia hizo lakini pale anapotaka kununua unakuta kwenye duka la dawa muuzaji ni kabinti kadokadogo sawa na mtoto wake, kwa hiyo anaona noma kwenda kununua, anageuza, anakwenda kupiga "BARE".
    Sasa hizo mtu unatumbukiza hela tu kimya kimya tena usiku usiku, hamna mtu anakuona, "kiloba" chako kinatoka, aka, taratiibu unakwenda kukitumia kwa raha zako, hakuna mwanga wa kukuona wala nini.
    Zije bongo bwana!

    ReplyDelete
  6. haya ndiyo mambo sio mambo ya wabongo kutumia rambo laini.Unajipendelea mwenyewe bila mtu kukuangalia kimaswali-swali

    ReplyDelete
  7. Du na jinsi sarafu yetu ilivyo poromoka thamani itabidi uwe na fuko la rambo lenye sarafu kuweza kununua bidhaa kwenye hizi "vending machine" maana sijaona zinazotumia noti.

    ReplyDelete
  8. Hizi ndo Baadhi ya SOLUTION Muhimu sana za ngoma bongo.Nashauri ziwekwe mitaa ya kujificha kidogo kila kona ya Mkoa wa bongo. Naamini ngoma itapungua asilimia kubwa sana. michuzi wasilisha proposal hii kwa salama ule bingo!!!

    ReplyDelete
  9. Anon hapo juu.... uko nchi gani? mbona vending za noti ziko kibao tu.. hata unayoiona napo ni ya noti na coin.... Hii itakuwa sooo ukiweka bongo... aita saidia kwa wale wanaosema kuwa watu wanaona noma kwenda kununua madukani... sasa vikiria hii inakuwa imewekwa pale mtaa wa samora alafu wewe unapanga foleni kusubiria kununua condom kwenye vending machine... hiyo imekaa kushoto... labda kama waziweke kwenye vyoo vya mahoteli na resturant na bar....

    ReplyDelete
  10. MHESHIMIWA ISSA HABARI ZA KAZI..MZEE NAONA UNAJISHUHULISHA VIZURI KATIKA KUPAMBANA NA UKIMWI.TUNAOMBA TUWARAHISISHIE WATANZANIA WENZETU MIZUNGUKO HIZO, VENDING MASHINE ZA KONDOM ZEWEKWE AT LIST KARIBU NA SEHEMU ZA STAREHE. NA KUWE NA DIRECTION ZINAZOONYESHA MAHALI ZILIPO..WELL JAPOKUWA TAKWIMU ZISIZO SAHIHI ZINAONYESHA KWAMBA ASILIMIA 30 YA WAFANYAKAZI HUFANYA MAPENZI KATIKA SEHEMU/MAENEO YA KAZI.."NAHILI NALO TUSILIFUMBIE MACHO.."

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...