ilikuwa ni kubanjuka tu usiku wa kuamkia leo pale little theatre katika kusherehekea siku ya uganda dei

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Sasa huyo dada mwenye suruali ya Jinz, hicho KIKOTI mbona kama ni cha MDOGO wake?
    Au wenzetu mjini huko ndo mnavyovaa huko siku hizi?
    Khaaaa!

    ReplyDelete
  2. naona watu wanabanjuka tu bongo safi sana halafu huyo aliye vaa capri pants za jeans sio oliver wa lukenya high school au nimefananisha?

    ReplyDelete
  3. eeh Michuzi hiyo Tukunyema sio mchezo. Mashine kubwa inaweza pindua mtu

    ReplyDelete
  4. Kweli mambo yamebadilika Bongo. Zamani hapo Little Theatre palikuwa exclusively for Wazungu! Enzi hizo akina marehemu Erica Khuri na Tony Khuri wanafanya michezo pale. Tena miaka ya 80! Nafurahi kweli kuona waafrika siku hizi wanapafaidi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...