Home
Unlabelled
bongo kutamu...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Supu ya ulimi!!!? Eeeeeuwh mimba yangu itatoka jamani!!
ReplyDeleteHATA MIMI NIKIJA NADHANI NITA OVERSTAY KAMA LIONGO, NIME MISS HOME KINOMA . ....wazungu wenyewe wakija kutembea Bongo , wanasema wangependa kuinjoy zaidi. Maisha ni rahisi, watu wako friendly .
ReplyDeleteTatizo wengi wetu ni maskini, so hatuenjoy maisha ya supu kama hivyo.
Aisee supu ya Ulimi! Mi nipo London na naimiss sana hii....natoka kupasha kiporo cha wali wa jana ndio nakula baada ya kuamka nazo...bongo ningepata ulimi, kongoro, mkia...balaa
ReplyDelete