benchi la ufundi la yanga sasa liko chini ya kocha mmalawi jack chamangwana (shoto) akisaidiwa na beki mkali wa yanga enzi hizo kenneth mkapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Usiwe bias kaka mbona simba wakidondokewa na wajinga wajinga unafurahiia.

    ReplyDelete
  2. Du brother Ken umekuwa kocha siku hizi? ile Hustle yako kwa dogo hussein imeishia wapi? Hongera sana ila nimesikia umechukua na kozi ya ukocha kwa hiyo bila shaka mambo yako ni ya kitaalamu, endelea hivyo hivyo mtu mzima.

    ReplyDelete
  3. Wau, Keneth Pius Mkapa! Umenikumbusha mbali, enzi zako ukikipiga Yanga. Hakika, Ken ni mmoja kati ya mabeki wa kushoto wazuri ambao Yanga na taifa imewahi kuwa nao katika historia ya soka la bongo. Big up, Ken!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...