kutokana na kukosekana na mahali pa kwenda wadau wengi wa kipato cha chini na watoto wao hufurika coco beach kula iddi kwa kupunga hewa, kuogelea na kula lambalamba. hii ni jioni ya leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kwa wabongo kwenda bichi kwenye sikukuu ya Idd tunasema ni kwa walalahoi, lakini watu wamagharibi wakiona hizi picha wanatuonea wivu.
    Niko Uholanzi huku na wala sioni chochote bali kutembelea jamaa tu na kula pilau ;-)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...