Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Tanzania tuna watu wenye vipaji vya kuvutia. Mungu ibariki Tanzania.

    ReplyDelete
  2. Hii Kali!Gado ananiua sana na kazi zake za uhakika!

    ReplyDelete
  3. Jamani mnajua kila sehemu vilaza wapo sio mlimani tu, hata kwenye Blog ya kaka Michu. Sasa mimi mwenzenu sijaelewa maana ya hii sanaa hapa, naomba munieleweshepo ili tuwe pamoja.
    Msinizodoe jamani, kuuliza sio ujinga...noya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...