
ASALAM ALAYKUM KAKA MICHUZI MIMI MDAU HAJI AMBAYE JANA NILITUMA SALAMA ZA EID ILA ULIKOSEA MIMI NIKO KANSAS CITY-MAREKANI NA SIO BOSTON KAMA ULIVYOWEKA ANYWAY THANK YOU NA EID NJEMA KWA WADAU NA WAISLAM WOTE DUNIANI. TUSIACHE KUMCHA MUNGU!
mdau samahani kwa kosa lililotokea. hiyo ilitokana na wewe kutotuma jina la uliko. Iddi njema na wewe pia. asante - michu
Eyooooo Watsuuuup Niggazzzz!!! Haji KIHERE HERE YAKO IKIPANGWA kutokea Dar inafika Moshi... Duh!!!
ReplyDeleteWaa Waa HAJI !!! Waonyeshe wabongo kuwa na wee viwalo unaviweza ila uliiweka ile picha ya "ki-stock broker" hapo awali ili kuchangamsha Blog tu na kuwapa waosha vinywa something to talk about.
ReplyDeleteKwa kweli mimi ni yule mtoto wako tu, kama niwako. Aisee ni Bomba balaa. Naomba nidediket tena wimbo utambao huku Bongo wa "nataka nizae na wewe" kwako. EID njema.
mshikaji ukija bongo tafadhari usilipuke kihivyo utakuwa makumbusho yaani punguza hizo bring na michoro utapendeza. kwanini hujiamini? inaonyesha unajiongezea confidance na mabring na mamichoro wa kuwa simple tu utaona utakavyopendeza. kwa kifupi kwa sasa unaboaoooooooooooooooooooo
ReplyDeleteMisupu nawe umetuchosha ! Hivi kila mtu akiamua kuleta salamu zake IDD itakuwaje kwa hii BLOG yako ? We used to grasp that your BLOG is more educative rather than superative as you are doing right away ! Pze be like your fellow blogfriend i.e Mjengwa,Haki Ngowi so to tell. Someone has tipped me that you are coming from that tiny tribe of wazaramo who mostly are non-informative and unscruplous in nature ! Sasa ni uamuzi wako kuianika hii habari yangu au laaah ! Kwani nakala iko kwenye blog nyingine za huko kwetu TANZANIA! Acha UShamba
ReplyDeleteHuyu jamaa sasa kaja na Mapozi ya ki gestaaaa! Uno tatoo kibao ...Some not right???/!!
ReplyDeleteNyie wabongo acheni kuhangaika na maisha ya watu, sasa yeye bling bling zake zinakubore nini? Michoro yake kwanini wewe ndio uipangie? It really has nothing to do with you!
ReplyDeletejamani mbona mnakua kama vipofu hiyo trick ya pic tu jamaa kaweka kichwa kwenye pic nyingine hakuna mbongo ambaye anaweza kuwa hivyo ila nice try mate!!
ReplyDeleteDude,
ReplyDeleteYou are so over. you need make over......... hah!
oya!acha kuzuga bwana,hapo ulipo MANZESE.sio mtoni wala nini!
ReplyDeleteKiruu!
ReplyDeleteboy whatz wrong wit you it seems you're strugglin alot,as if something is missin upstair eeh?alot of fucking jewelry ru a gangstar or wanna be? wearin like a soldier ru a one?
ReplyDeletenow its grown up time so cope with it!
kwani huko kansas city hakuna madaktari wa akili?
ReplyDeleteTunajua ni mambo ya photoshop, but the guy needs to get a lyf. aache kujishebedua kwa blog ya michuzi bwana tushamuona mara moja inatosha
ReplyDeletewewe othman nassor wacha kuwa kama sio binadamu kumbuka wazaramo hao hao ndio mmoja alikuwa RAISI wako na sasa hivi Raisi wako mwinyi na kikwete inshallah mwenyezi mungu atakufunguwa akili wewe mwenye majungu.
ReplyDeletewabongo naomba niwaelimishe kidogo... Huyo kijana kwenye picha ya suit na hapo juu ametumia Photoshop, na si picha yake, bali ameweka BICHWA lake kwenye mwili wa mtu mwengine.
ReplyDeleteAsanteni
ha ha ha ah ha aanon wa kwanza hapo umenichekesha sana hahaha eti kihere here yako ikipangwa tokea dar inafika moshi du.... watu mnajua kuosha vinywa NIMECHEKA SANA
ReplyDeletenaye hachoki tu maana mameno aliyopewa last time nashangaa ametoa wapi guts za kutuma picha nyingine
Kazi ipo.............
ReplyDeleteWadau tukumbushane kwamba hiki ni kijiji.Na kama ni kijiji basi hakina upendeleo wowote katika kuridhisha nafsi zetu.Kila mdau anapata toshelezo lake kwa wakati wake kutegemea na mada husika.Si wote tunaopenda picha kama za mdau mwenzetu wa kansas lakini wapo walioonesha kupendezwa hapo na maoni yanaonesha hivyo basi ni wakati wao huo wengine tusubiri,utafika wakati wa mada tata hapo mtajidai kwa kutoa fikra zenu kadili ya uelewa wenu. Ila zikitawala habari za aina moja ni wazi wengine watakimbilia vijiji vya jirani,hiyo inakubalika.Pia kijiji ili kiendelee lazima kiwe na mitazamo tofauti ili kupata mafanikio.Mazingira yetu tunayoishi lazima tutofautiane mitazamo ili tuweze kujenga jamii bora.Lakini bila kuonesha waziwazi tofauti zetu,hiyo haitajenga itabomoa tu. Nisiwachoshe wadau yote kwa yote nawatakia Eid Mubarak njema,japo si muislamu naomba jamii nzima ya waislam ulimwenguni kote muendelee kuwa safi.Wale mliobadilika katika kipindi hiki cha mfungo msirudie zama zenu muwe mfano bora kwa dini nyingine. George
ReplyDeleteMshkaji usituone wote wakuja humu ndani, hiyo ni picha ya 50 cents umeweka kichwa chako. Kwa nini unajifanya gangster while you are just a wanckster
ReplyDeleteUmefika! You have arrived!
ReplyDeleteBut that arrival is enigmatic!
na we haji unahangaika kisa uliambiwa unaonekana kama mkulima,
ReplyDeleteumeamua kuonyesha unavoweza kupaka hina sio,iddi njema mzee.
ADOBE pure!!Be confident son
ReplyDeleteDu sasa hii picha ndo baada ya kitambo kupita toka uingie USA???basi makubwa, inaelekea kozi ya computer uliyochukua inakusaidia sana kujipimp maana hata michuzi kaingia town. Well to be honest the damn head is yours but the body is of somebody else's, probably your rapper idol!!!ushamba dot.com
ReplyDeleteKaa! Vitu vingine mnavyofanya kwa kuiga ndo maana mnaitwa wavuta bangi, vijana wa siku hizi ovyo nk. Kwani unashida gani wewe kaka kuwa ovyo hivyo. Hujapendeza
ReplyDeleteJamani hivi huyu mtu kweli?mbona yuko kama mzimu?
ReplyDeleteWatu mnamsema Michuzi lakini kila siku mnaingia kwenye blog yake, mnatafuta nini? Hivi hata ukiweka nakala ya copy yako kwenye blogs nyingine unamtisha nani?
ReplyDeleteKama unaona hana akili wewe unafuata nini huku kwenye mtu asiye na akili? Inaelekea wewe ndio huna akili kwa vile hujui maana ya blog. You can’t control him on what to put and what not to put.
Get a life na muachie Michuzi afanye atakacho. Wewe kama hupendi wengine tunaenjoy hizi topic sasa tafuta blog yako GRANDPA inaelekea kijue hiki hukiwezi
Na huyu kijana hata kama uko Boston au Kansas city unatafuta approval ya watu au unatafuta mchumba? Inaelekea una low self- confidence.. Kama ni salamu na unatuma na unataka kuweka picha yako use your only picture. Ndio nini kuweka kichwa chako kwenye picha za watu wengine? Hujiamini kuwa wewe ni mzuri tu ? Ya suti haikutosha mpaka ulete hii tena? You need help buddy. Mnaokataa asisemwe….sijui mkoje…asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu….kama mtu ni show off kwanini wat wasimslow down….?
Taabu kwelikweli, jamaa kaambiwa aahaa suti hiyo suti hiyooo, kaamua kuja kiivyo sasa. Je wakimwambia mwanaume huyo mwanaume huyo, si atakuja na shanga kiunoni huyu!! Aaaha anakera ila ana moyo.
ReplyDeleteWatu wakujilipua utawajua tu..
ReplyDeletemshikaji kwenye picha kama kafufuka vile!
ReplyDeleteMICHUZI DONT FALL FOR THAT ,HUO MWILI NI WA LLOYD BANKS G-UNIT, HUNGER FOR MORE ALBUM COVER.HUYO MCHIZI PAMBA HANA AU INAKUWAJE?
ReplyDeleteMICHUZI DONT FALL FOR THAT ,HUO MWILI NI WA LLOYD BANKS G-UNIT, HUNGER FOR MORE ALBUM COVER.HUYO MCHIZI PAMBA HANA AU INAKUWAJE?
ReplyDeleteWasiwasi wangu kama mshikaji huyu alimwambia demu wake kuwa atatoa picha kwa mithupu.Sasa swali kwako bwana Haji,vipi demu wako anajua kusoma kiswahili???Manake akizisoma kometi hizi talaka njenje.Ila kweli mshikaji unatisha sura kama umelamba limaoooo
ReplyDeleteJamani hicho si kichwa chake...Ni mwili wa Game aliyekuwa G-unit..!
ReplyDeleteHaaa
ReplyDeleteNaona ndugu yangu hiyo Photoshop software umeifanyia kazi kweli kweli Mbongo.Yaani umefanikiwa kuchukua picha ya Lloyd Banks wa G Unit na kupachika bichwa lako hapo....kweli wabongo hatuna mchezo!!! Haya bwana Lloyd Banks wa kuchonga fanya mambo...watishe wabongo...hahaha hahah!!!
EBWANA VIPI KAKA?
ReplyDeleteEBWANA HONGERA SANA KWA HIYO PICHA IKIWA KICHWA NI CHAKO NA MWILI WA MTU MWENGINE KWANI WHO CARES?
MI NAONA SAWA, HII NI SEHEMU YA KUBURUDIKA NA KUFURAHI KWA PAMOJA NA KAMA MTU UNA UJUZI AU UTUNDU WA AINA YEYOTE SI VIBAYA UKICHANGIA NA WENGINE..
KIFUPI WENGINE SI KAZI YETU KUINGIA KWENYE HII BLOG NA KUKOSOA WATU ILI TUONEKANE TUNAJUA..
MI NAKUPONGEZA NA KAMA UNA VITU VINGINE VYA KUWEKA ONLINE WE WEKA TU KAKA . HIYO NDIYO MAANA YAKUWA NA HII BLOG ILI TUPATE KUJUMUIKA NA KUWE NA MAMBO YA UTANI WA HAPA NA PALE..
NA VIJIMAMBO KAMA HIVYO
JAMAA MZUSHI SANA HUYU, MICHUZI NA WADAU HEMBU CHEKINI HII LINK MUONE HUYU JAMAA ALIVYOMTALAAMU WA KUCHEZA NA COMPUTER.
ReplyDeletehttp://images.amazon.com/images/P/B0002ABSP4.01._SCLZZZZZZZ_.jpg
http://themes.belchfire.net/screenshots/%5B3667%5DLBanks_LVL1_OFFCL_640.jpg
ReplyDeletehahahahahaha tumekushika ! acha mapozi wabongo !
tumekushika tanazo la lloyds bank hilo ..utafungwa kwa ubishololo wako
ReplyDelete