Home
Unlabelled
kanye west
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Du! Sisi tunamuonea noma tu kumwambia mshikaji lakini jina noma hilo kwa kimatumbi!Hebu fikiria mtu anakuambia namna hiyo mtu mzima si unapigana!
ReplyDeleteHahahaha the only one? in his dreams....well labda kimatumbi kweli.
ReplyDeleteHawa wazushi tu,maana yake mbona ni easy,ukakunye mangharibi.
ReplyDeleteKanye magharibi au kanye kushoto
ReplyDeleteYaani
Kanye mavi magharibi
kweli michuzi nilikuwa sijawahi kuifikiria
umenichekesha leo
...jamani hiki ni ''Swahili'' ya wapi?
ReplyDeleteThis is too much sasa, huyu jamaa inabidia "akajisaidie huko mashariki"
ReplyDeleteKanye kwa Kiswahili maana yake nenda ukajisaidie, labda Kiswahili cha Minnessota maana yake 'the only one'
ReplyDeleteTumeshawazowea wamarekani kwa kutunga majina ya ajabu ajabu ilimradi yafanane na ya kiafrika,hili si jina la ajabu la kwanza linalohusishwa na kiswahili.Fikirieni sikukuu ya "kwanza" sijui wanaihusishaje na kiswahili,nijuavyo mimi kwanza ni mwanzo
ReplyDeletekuna haja (sio ya choo)huyu jamaa aelezwe maana halisi ya jina lake. Nina uhakika akiambiwa ukweli wa tafsiri, mtasikia kabadilisha jina mara moja! The poor chap - mtu mzima na akili yake he's been calling himself that name without knowing it's real meaning:-(
ReplyDeletejamani tusimseme jamaa vibaya labda angeulizwa mama yake alipata wapi?na jee sisi waswahili hatujui maneno yote kwenye kamusi,labda tupitie kwanza kabla ya ku comment vibaya, mimi kwa mawazo yangu labda alivyokuwa mdogo alikuwa anamaanisha {kenyewe}{mwenyewe} ndio 'alone' sasa akitoa 'we'ina baki kenye ,sasa kwa sababu lugha sio yao wazungu tena wakamwita'kanye',hiyo nimejaribu ku derive wamepataje,majina yanaweza yakabadilishwa na waitaji kwa mfano mathew anaitwa matei,sasa ukimwambia mzungu matei atakushangaa,ndio nini hiyo,haya ni mawazo yangu jamani kama kuna mwingine anaweza kusema, kwa hiyo tusiwe negative moja kwa moja
ReplyDeletekwa mujibu wa gazeti la timesonline.co.uk la leo (08/10/2007) Kanye ni the only one kwa ki Ethiopia ! Hakuna haja ya kujipigia vigele gele kwa ngoma ya jirani !
ReplyDeleteLabda tuulize Michuzi ina maana gani !!!
Go shit on the West side!
ReplyDelete