jk akiwa na (toka shoto) mh. janeth kahama, mh alnoor kassum, mama kassum na mh. george kahama leo ikulu alipozindua kitabu kiitwacho 'africa's wind of change' kilichoandika na mh. kassum ambaye ni mmoja wa mawaziri waliokuwa kenye kabineti ya awamu ya kwanza. ukitaka kuona picha zaidi nenda http://haki-hakingowi.blogspot.com/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. UNA NI BORE SANA LEO MICHUZI COMMENT ZANGU ZOTE UMEGOMEA NA WALA SIJAMTUKANA MTU POA

    ReplyDelete
  2. Nawaona Macomrade wa Malkia na shemeji wa marehemu. Vipi dada yake Canada hajambo? Nikimuona Prof. Kassum sura yake namkumbuka sana dada yake jinsi alivyowaendesha puta marehemu Cardinal Rugambwa na Mzee wa UNIP Keneth Kaunda mwenyewe.Faizar Hakh

    ReplyDelete
  3. Kumbe Mzee Kassum bado yu hai!

    ReplyDelete
  4. Eeh bwana wazushi si walisema Kassum amefariki na kuzikwa Kanada?

    ReplyDelete
  5. Ingawa mhindi ni mhindi, lakini usichanganye kati ya Jamar na Kassum. Aliyezikwa Kanada ni Jamar na sio Kassum.
    Fazar

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...