mdau leo katuletea hii tujadili teknolijia inayotumika kuvusha bidhaa....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. risk... hatari tupu not safe, hawana hata maboya ....

    ReplyDelete
  2. Ndio hii ni blog yako lakini wakati mwingine unachosha sana. Sasa hii ni tekelinalokujia gani ya kujadili kama sio kuleta upuuzi?

    ReplyDelete
  3. Ehee!! hiii ndio ukweli wa mambo halisi.wengine wanapeta bongo wengine wanaadhibika.Mungu saidia tufikie kileleni

    ReplyDelete
  4. Ni aibu kwa nchi kama Tanzania yenye maliasili kama ambavyo tunavyo kuwa na vivuko kama hivyo,hivi viongozi wetu maeneo kama hayo wanakwenda katika ziara zao na wakapitisha magari yao ya kifahari,mashangingi ya bei kubwa katika kivuko kama hicho,nadhani sasa wakati umefika wa kuchua hatua kwa sisi walalahoi dhidi ya hawa mabeberu wa nchi hii ili maendeleo yaonekana na watanzania wafaidi matunda ya rasilimali zao.sasa hapo ikitokea ajali nani wa kulaumiwa..wabongo tuamke sasa nchi inakwisha hii.karibuni na isanzu ktk wilaya ya iramba muone vituko huko.....

    ReplyDelete
  5. mmh hyo ngoma inawezekana imechapwa maana hata jamaa wanaoivusha wamepinda flani hivi...all in all its not safe kutumia hiyo dizaini sijui ngalawa au mtumbwi,kudadadeki umaskini huu utaua bendi.

    ReplyDelete
  6. sasa hii teknologia ndio inaitwaje ?

    ReplyDelete
  7. Mi naona hawa jamaa wanastahili kupongezwa kwa ubunifu wao. Inatakiwa siku zote kutatua matatizo kwa nyenzo zilizo ndani ya uwezo wako.

    ReplyDelete
  8. Hii ni sababu kwa nini naipenda Africa! Bora tufike babaake ingekua yuropa ungesikia ooh haki za magari! Midhungu bwana wakati mwingine sio?

    ReplyDelete
  9. Hatarrii! Wanaumee! Whyyy?

    ReplyDelete
  10. You people look at that as an opportunity sio kukandia tu. vivuko vinahitajika na wajasilimali wanahitajika sasa kazi kwako. Kila siku mnalalamika hakuna opportunity bongo, Michuzi anawawekea opportunity bado mnalalamika tena. karagabaho!

    ReplyDelete
  11. Mbona hamna sehemu ya kutolea maoni kwenye mtundiko wa quran tukufu? Michuzi au mtoa mtundiko unaogopa hata maoni mazuri ya kukupongoze kwa mtundiko na hivyo viunga?

    ReplyDelete
  12. Anony 11:51 Unakataa kuona picha za bongo...aibu au???? hii ndio ukweli wa nchi yako.

    Hao watu wakupongezwa sana ingawaje wanahatarisha maisha yao sana lakini kama Govt haioni na kuwasaidia ni vizuri wamevumbua njia ya kupeleka magari hata huko kijijini kwao.

    ReplyDelete
  13. Tungekua na hamsini (50) kama hizi tatizo la usafiri pale magogoni lingetatuliwa

    ReplyDelete
  14. I actually like this. It is living proof to show how intelligent Tanzanians can be. This means Tanzania can survive without the so called technology, all we need to do is think of ways to expand this procedure so that it can carry more than one car. I also wanted to say Maricha you're absolutely right.

    ReplyDelete
  15. Kwako anonymous wa Tarehe October 8, 2007 4:15:00 PM EAT,

    NIMEFURAHISHWA NA MAONI YAKO, NAOMBA NIKUNUKUU KAMA IFUATAVYO

    'Mi naona hawa jamaa wanastahili kupongezwa kwa ubunifu wao. Inatakiwa siku zote kutatua matatizo kwa nyenzo zilizo ndani ya uwezo wako.'

    HUU NI UKWELI KABISA, KAMA TUNATAKA KUONDOKANA NA UMASIKINI, BASI HATUNA BUDI TUJITUME NA KUWA WABUNIFU. TUWE WAZALISHAJI WA KWELI NA SIO WAVIVU AU WAPIGA KELELE ZISIZOKUWA NA TIJA.

    BAADHI YA WANANCHI WALIO WENGI HUKO NYUMBANI HAWAAMINI KAMA WANAWEZA KUJIKWAMUA KUTOKA KATIKA UMASIKINI BILA YA SERIKALI KUWASAIDIA KWA ASILIMIA MIA. HUKO NI KUJIRUDISHA NYUMA SANA.

    NDUGU ZETU WENGI BACK HOME WAMEJAA TAMAA SANA, WENGINE WAMEFIKIA HATA KIWANGO CHA KUTOKUAMINIKA. VIJANA WAKIINGIA KAZINI WANAFIKIRIA NI JINSI GANI YA KUMUIBIA MWAJIRI WAO. HII INAFIKIA HATA BAADHI YA WAAJIRI HUOGOPA KUWAAJIRI WATZ KWA SABABU BAADHI YAO SI WATU WAKUJITUMA NA HAWAMINIKI.

    ReplyDelete
  16. MHESHIMIWA ISSA HABARI ZA KAZI, NAONA UNATUONYESHA JITIHADA ZA WANANCHI WA TANZANIA KATIKA KUCHANGIA UCHUMI WAO. KAMA SIKOSEI TUNA BENKI TANZANIA HIVI HAWA WAHESHIWA HAWAONI KWAMBA WANAWEZA KUWEKEZA HAPO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...