mdau kwame alitembelea mikoa ya kusini hivi majuzi na katuletea hii...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. SI UTANI KAMA KUNA WATU WANAPENDA SPOTI BASI SOKA NDO MCHEZO UPENDWAO KULIKO INGINEYO. HII NI HAMASA TOSHA KWA WADAU WOTE TZ KUSHIRIKIANA KAMA ITABIDI KUWEKA MIKAKATI KATIKA MAMBO MUJIMU YAPENDWAYO NA WANANCHI. HII NAWEZA SEMA NI CHANGAMOTO TOSHA KWA UONGOZI WETU WA NCHIN KUWEKA MIPANGO NA KUISIMAMIA KUWAPA WATU RAHA WAIPENDAYO. JAMANIEE SIKUWEZA KUJIZUIA KUTOKWA NA MACHOZI YA FURAHA NILIPOKUWA NIMESIMAMA PALE NATIONAL STADIUM NIKIIMBA NYIMBO ZA KITAIFA ZENYE HISTORIA YA NCHI YETU. Footiboli huungamisha watu bila kujali tofauti zao. Lakini pamoja na ukweli huu wote kuna watu wapo kwenye nyafasi za uongozi wa michezo wakisubili Maajabu yatokee Tz Iweze Kung'ara bila darubini na ramani. Leo hii tunaona wchezaji wa nchi za Africa kati na Magharibi wakitesa ugaibini ! hii inatufundisha nini East Africa? Kama kuna vitu vya kuungana kabla ya Dola na Uchumi ni kwenye vitu vya kijamii kama hivi. Kwa wenzetu Kenya angalau Dunia inawatambua kwa Kutimua Vumbi/kufukuza Upepo. Kuna kipindi hata Tz Ilikuwa Ikitesa, sijui ilikuwa kuwaje tukajitoa . Hapa naomba majibu kutoka kwa wkongwe.

    Kuhusu Makocha Wetu, Hapa sasa ndo pa kuangalia kwani mwalimu Bomu huzalisha Mwanafunza Bomu. Sijakosea si Mwanafunzi bora ataonwa na Mwalimu bora!!! lakini si kinyume chake. Haya jama maoni yenu ni muhimu, sio tukae tuuu kuangalia leo Michuzi katuletea nini wewe mchango wako ni nini katika Taifa Hili? Themi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...