Asalaaam aleikhum mabibi na mabwana ni mimi miss Bukhite Aljabry kutoka Maryland, USA, nawatakia wadau woote duniani Eid Mubarak. Mwenyeezi Mungu atujaalie tuendeleze vitendo vyema hata baada ya Ramadhaan inshaallah.

AMEEN.

,

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Ohoo tunashukuru jamani isee mtoto mtamu huyu jamani lohh!jicho jichoo hich ki smile mtumeeee!ASante ehee mama.loh!

    ReplyDelete
  2. Walaykum Salaam Ms.Bukhite.. Nawe nakutakia Eid njema na m/mungu akupe uhai na urefu. Akuepushie mabaya na akuongoze. Eid mubarak.

    Aeisha

    ReplyDelete
  3. aunt kwa uzuri huo..mie naona itakua ngumu kwenye neighbourhood yako kuendeleza mambo mazuri baada ya mfungo wa ramadhani.Anyway...one thing first, IDD MUBARAK!!!

    ReplyDelete
  4. Umesema wewe ni Miss nani? duuh!kazi kwelikweli..kama wewe miss sijui hao wenzio kina Bukhite Aljabry famili wakoje? wabayuuuu

    ReplyDelete
  5. Jamani!!! Huyu bado ni MISS au ni slip of the pen alimaanisha Mrs.? Mbona umri kama umeenda. Mungu akuajaalie inshaallah upate mwandani. Eid Njema Pia.

    ReplyDelete
  6. Mtoto Chei Chei..Ashakumu sio matusi ..jicho hilo na smile mhhh.

    ReplyDelete
  7. Miss Bukhite za Maryland? mimi ni Halima hapa Boston, tuwasiliane jamani. Nakutakia Eid Njema,

    ReplyDelete
  8. Waaleikum salaam ms.Bukhite.
    Mashallah umependeza mwaya.
    Inshallh kheri. Eid njema kwako pia.
    Mwezi mungu atukubalie funga zetu, na inshallah tuendeleze ibada.

    Safia

    ReplyDelete
  9. Looking good Bukhite, How is MD?, Mwambie Terry Shomari tuwasiliane
    Cheers
    Al

    ReplyDelete
  10. Dada na mimi niko Maryland jamani isingekuwa mimacho ya watu humu ndani ningekupa details zangu unikaribishe japo vitumbua kwenye Eid. All the best dear!

    ReplyDelete
  11. Acha weee!! Tabasamu hilo. Hivyo ndo warembo wanavyotakiwa wawe wanatabasamu*2... Lakini utawakuta wasichana wengine wamenuna utafikiri????

    ReplyDelete
  12. KAKA MICHU ANGALIA WADAU WASIJE WAKAKUTEGA KAMA KAKA JEF KOINANGE
    HAHAHAHA EID NJEMA KAKA.
    PIUS

    ReplyDelete
  13. kyoma hiyo ni point kabisa mboni ki kifywaa cha nguvu anaelekea kuwa future shamim khan huyu jamani nyie subirini tu.

    ReplyDelete
  14. nadhani kaka faraji kwako iddi hii haitapita vyema
    kila mtu kamuandama wako utadhani hakuna totoz nyengine
    pole sana

    ReplyDelete
  15. prince junior plaese please
    unatutia aibu wana eski shehir wenzio. watu watatudhani tunakubonyeza kizenji buree walaa hatuna mambo hayo
    cheerz

    ReplyDelete
  16. huko esik shehiri ndi wapi tena.hata sielewi usije ukawa unanichanganya bure wewe fala.mi
    zungu dello nipo mwanza kaka.KAMA UNATAFUTA BAMIA LA KISUKUMA HAPA
    NJOO UTAPATA.OOOH SIJUI KUBONYEZA KIZENJI.OOOOH SIJUI NINI WEWE
    UNATOKA ZENJI AMA MOMBASA NINI?
    NJOO SIKU HIZI TUNAWATAFUTA HATA
    NYINYI MAANA WAFANYIBIASHARA WENZANGU WA SAMAKI WANAWAPENDA SANA NYINYI.NJOO UPATE BAMIA ZA KISUKUMA WEWE.

    ReplyDelete
  17. WE MACHO YA BANGI ACHA UJINGA.WATU WOTE SASA
    WANAKUFAHAMU KWA UPUUZI WAKO HAPA
    MSHKAJI AMETULIA, WEWE HUNA KAZI
    NINI? TAFUTA VIZA YA UINGEREZA UKAPIGE BOKS AMA UNATAKA NINI?
    MAANA KILA WAKATI HUNA LA KUFANYA
    SI ULIFANYA YOS WEWE ULIPATA NGAPI
    KAKA? SIRI YAKO.
    ANYWAY.MBONA KATIKA WABONGO HUWA
    HUANDIKI HATA KIDOGO.MWENZAKO
    ANAANDIKA VITU VYA MAANA KULE
    WEWE SANA SANA ULITULETEA UTANI
    SIKU MOJA.DOGO KUA, KUNA SIKU WATU
    WALIKUSEMA VIBAYA NIKAKUTETEA ILA
    SASA NIMEONA WEWE NI MCHOKOZI SANA
    TENA SANA.YATAYOKUKUTA KAZI KWAKO
    SASA.DAWA YAKO INACHEMKA.USIONE
    MSHKAJI KATULIA ATAKUSHUGHULIKIA
    BAADAYE UTAHISI NOMA.
    ANYWAY ENDELEA NA KOZI KABLA
    KOCAER HAJAKATA PESA UANZE STRESS
    KUWA NA AKILI DOGO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...