rais mstaafu wa awamu ya tatu mh. bwm na mkewe mama anna mkapa wakitoa salaam za mwishp

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. POLENI JAMANI KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA, ENZI ZA MKAPA VIONGOZI , AJALI ZA VIONGOZI ZILIKUWA CHACHE, J.K AJALI ZA VIONGOZI NYINGI TUNAITAJI TOBA KWA WINGI JAMANI, TUMREJEE MUUMBA.

    ReplyDelete
  2. ACHA UJINGA WAKO WEWE ANON NAMBA 1
    HAKUNA HATA CHEMBE YA FACT KATIKA
    ULICHOONGEA.UNATAKA KUCHOKOZA WATU
    TUANZE KUONGEA HAPA.ETI ENZI YA BWM
    AJALI ZILIKUWA CHACHE.UNAKUMBUKA MKAPA ALIPOINGIA MADARAKANI WATU
    WALIKUFA KATIKA AJALI NGAPI TU?
    UNAJUA AMA UNACHONGA? AMA UMEZALIWA
    1997 NINI WEWE? KAMA NDIO HIVYO
    LABDA ILA KAMA NI 10 YEARS BEFORE
    BASI AKILI ZAKO KAMA ZA NGEDERE TU
    SASA TUMUOMBEE MAMA SALOME.NO MORE
    KUWA NA AKILI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...