Mr Michuzi sisi kwa pamoja tuomba utufikishie salama zetu za Eid Mubarakkwa wadau wote wa blog hii popote walipo ni mimi Ummi na Ruta wa Moshi-Tanzania

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Aww Eid Mubarak kwa nyie pia jamani. Kila la kheri ktk msherekeo wa Eid hii na nyingine zoote zikujazo. May Allah keep u n ur son/mdogo safe. Ameen

    Aeisha

    ReplyDelete
  2. Aksanten sana kwa salam zenu za Eid nawashukuru sana pia mimi nawatakia Eid njema iwe na baraka na Mwenyezi Mungu atufikishe tusheherekee vizuri na kwa aman

    Bill

    ReplyDelete
  3. The boy just look so cute. Eid Mubarak na nyie.

    ReplyDelete
  4. Eid njama na nyie pia watoto wazuri.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...