mwandaaji wa tamasha la michezo la taasisi za elimu ya juu gabriel nderumaki (kulia) akila stori na bingwa wa kick boxing afrika mashariki na kati senpai kaseba na bondia mbwana matumla. nderumaki anatwambia mambo yote yanakwenda vyema na ana mpango wa kupeleka tamasha hilo mikoani huko mbeleni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Michuzi naona Kiswahili kidogo unakipeleka mbali,hilo neno MBELENI sio mahala pake kuliandika na badala yake ungetumia SIKU ZIJAZO,Neno mbeleni kwa maana nyingine ni TUSI.

    Naomba kuwasilisha.

    ReplyDelete
  2. Huyo bosi mazoezi aanze yeye si umeona tumbo hiloooo!

    ReplyDelete
  3. JAPHET MBESE KASEBA WHAT WEIGHT ARE YOU FIGHTING FOR[HOLDING]???

    ReplyDelete
  4. Huyu sio Mbese kweli? Alikuwa anakaa Upanga. Tulikuwa naye pale Zanaki Dojo kwa mzee Sensei Bomani na kina Bibula, Seifu na wengine..wakati huo sie ndio bwana wadogo wadogo..tuwasiliane hebu michuzi nipe email yake

    ReplyDelete
  5. Ebwana eheee! Huyu jamaaa Kaseba anapiga kama.... Ebwana si ana mechi Novemba Diamond ? Ebu tuhabarisheni vizuri. Mshikaji anatisha, ila tu nasikia atacheza na Muhindi naye nuksi kwani ni bingwa wa dunia. Lakini Tunaamini Atashinda tuuu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...