jk, waziri mkuu mh. el na makamu wa rais dk. ali mohamed shein wakiwapa pole watoto wa hayati salome mbatia baada ya mwili wa mama yao kuwasili dar leo kwa ndege toka iringa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. poleni sana Familia ya mama mbatia pamoja na wote waliofiwa ,namanisha pia na Dreva .Mungu awape nguvu.amajue kuwa kila mtu ataiacha tu hii dunia ila tujiulize je tutaondokje?
    Nampa pia pole Rais wetu Kikwete kwa yote yaliotokea,mbona hii awamu yako kuna matatizo hasa ya ajali kwa viongozi wenzio?
    muombe mungu akufunulie hili/
    Poleni wote.Mungu ametoa na yeye katwaa jina lake lihimidiwe.Amen

    ReplyDelete
  2. Ni uchungu ulioje kupoteza damu changa hivi. Lakini ni lini sheria za barabarani zitafuatiliwa. Sheria zipo lakini ni butu.

    ReplyDelete
  3. Yolanda jamani umenitia uchungu sana. Mungu wetu wa mbinguni akutie nguvu mdogo wangu, uwe na ujasiri wa simba kuweza kukabiliana na majukumu ya baadaye pia kuwasaidia wadogo zako you're on my prayer

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...