miss tz 2007 richa adhia mchana wa leo ameagwa rasmi siku moja kabla hajaelekea sanya, china, kuiwakilisha nchi kwenye fainali za miss world kwenye hafla ilofanyika kituo cha uwekezaji na kuhudhuriwa na waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa, mh. bernard membe.
akiongea kwenye hafla hiyo mrembo huyo amesema amejiandaa vya kutosha baada ya kupewa mafunzo mbalimbali, na amewataka wabongo wamuombee dua njema kwenye kinyang'anyiro hicho.
amewashukuru wadau mbalimbali waliomsaidia kwenye maandalizi ikiwa ni pamoja na wazazi wake na wadogo zake, dk. ramesh shah ambaye ni mshauri mkuu wa kamati ya miss tz, waandishi wa habari na wananchi wote kwa jumla pamoja na mbunifu mustafa hassanali ambaye amesema ndiye aliyemtayarishia nguo za wakati wa shindano la miss tz na pia atazovaa huko china.
Uyu binti sio mzuri na wala sio mbaya sema rangi yake nyeupe ndio inaridhisha.Lundenga weee naona umeamua kutubadilishia ngozi nyeusi Tanzania na kutupelekea ngozi nyeupe anaweza akashinda ila kama atashinda atajidai sana na kusema kumbe wahindi ni wazuri.Na nakwambia akishindwa midomo ya wa tz si unaijua utakuwa hupiti njiani na gari lako kila mtu atakunyooshea kidole.Sio ubaguzi bali ni hali halisi.iliyopo .
ReplyDeleteI can't wait to see hivyo viwalo. Kazitengeneza Hassanal!!!! Ndio ni mbunifu mashuhuri lakini asili yake muhindi, mshindi wetu asili yake Muhindi...mbona kazi!!!!!!
ReplyDeleteGood Lucky
Cute green eyes, nampenda sana huyu binti, njoo kwetu Zanzibar
ReplyDeletebado mnamuonea njindi mpaka leo?
ReplyDeleteNenda kaipeperushe bendera yetu dada yangu, onyesha ulimwengu jinsi watanzania tulivyopiga hatua katika swala la ubaguzi wa rangi, hayo mengine ni siri kubwa ya nyumbani kwetu.
ReplyDeleteNakutakia kila la kheri katika kuiwakilisha nchi yako.
Kawaonyeshe hatuna ubaguzi hadi tunaacha ndugu zetu wanaonewa na kina barrick na sisi tumeng`aa macho tu......
ReplyDeleteKWA UJUMLA RICHA!! JITAHIDI KUSAHAU YALIYOPITA!! WALE WALIOKUWA WANAKUPINGA CHUKUA KAMA NI CHANGAMOTO KWAKO NA JITAHIDI KU-PROVE KWAMBA TANZANIA HAKUNA UBAGUZI NA KAPEPERUSHE BENDERA IPASAVYO.
ReplyDeleteKUMBUKA: NCHI JIRANI NA WALE WASOMA BLOG NA NEWS FROM INTERNET WALISIKIA MALUMBANO YA KUTOKUBALIKA KWAKO NA WATANZANIA WACHACHE NI MAMBO AMBAYO UNAPASWA KUJUA UTAJIBU NINI KATIKA MASHINDANO HAYO PINDI WATAKAVYOKUULIZA : HOW IS TANZANIA? NA WEWE USEME VERY BEAUTFUL CHINI NO UBAGUZI... HAPO KUWA MUANGALIFU
KILA LA KHER! TUSAMEHE ILIKUWA CHANGAMOTO KWANI TULIJUA HUWATAWEZA KUTOLEWA KWA AJILI YA MIDOMO YETU. "WEWE NI MISS TANZANIA 2007!!!" HUREEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!
MICHUZI THIS IS SO FUN MUHINDI ANAENDA CHINA KUIWAKILISHA TANZANIA? NASUBIRI MATOKEO KWA HAMU SANA. KWELI SAA YA UKOMBOZI NI SASA KAMA ALIVYOSEMA MTIKILA.
ReplyDeleteJAMANI KA-CHICK IS CUTE,MPENDE MSIPENDE U BLACK GIRLS U CANT BEAT INDIANS IN TERMS OF BEAUTY,
ReplyDeleteGO GIRL...
tupo nyuma yako
wengine mlie tu
Anon wa Tarehe Wednesday, October 31, 2007 12:08:00
ReplyDeleteUmesema kweli "Mengine ni siri yetu ya Nyumbani"
Dadaa kila la kheri ndio ishakuwa tena na mi ni Mtanzania mzaliwa wa Congo ipo siku nitakataliwa tuu...hahahah. Michuzi utanitetea
Hivi jamani si mnakumbuka mi nilimuombaga huyu kama nana Rafiki yake au mdogo wake wa kike aniunganishie mimi ninahitaji gel frend mwenye asili ya kiasia?
ReplyDeleteMbona hajanijibu mpaka leo?
Si zalau hii? Si Zalau????
All the best, ila hizo nguo by Mustafa Hassanali?? Yule anashona mashuka na mashela sio nguo zile. Anyway, tusubiri tuone.
ReplyDelete"Ka-chick is cute" we anonymous wa Wed 31 Oct,1:17 EAT.Unaongea nini?? Eti black girls hawawezi kuwashinda waHindi kwa uzuri?!Kwanza beauty is in the eye of the beholder!Huo uzuri wa kihindi unauona wewe na sisi tunaona ule wa weusi,ok?Peleka hizo huko udosini hapa usituletee kashfa za kipuuzi.Kumbuka kuwa walio wengi Tanzania ni hao hao blacks unao wakashifu!!!!
ReplyDeleteNa'muunga mkono kwa dhati anonymous wa Wed 31 Oct,9:58 EAT.Ni kweli kabisa kuwa tunakazana kuonyesha hatuna ubaguzi huku ndugu zetu wamedhurika huko Barrick,wafanyakazi 900 jamani!!Ni nini hatima ya hawa ndugu na familia zao??Hayo hatuyajali aaah.. twamfagilia Richa tu na jumuiya yake.Inasikitisha!
ReplyDeleteSiyo nguo za Mustafa! Na aje aseme za kwake!
ReplyDeleteweee mangaaa unayesema wahindi wametuzidi uzuri wacha kabisa kusema hayo maneno cz watakucheka watuuuu! hao washenzi wamejaa chawa unasema wazuri,he he hee pole zako kijana! KUMBUKA BLACK IS BEATY,shenzy kabisa wee!
ReplyDeleteAnonymous wa Wed,31 Oct,2007.1:17EAT.Tanzania ni ya Blacks na machotara wenye asili ya kiTanzania.Kusema "you black girls can't beat Indians in terms of beauty" ni upuuzi na uupeleke hukohuko!Ni kama kusema kuwa wadosi pia ni waTanzania asilia!Toka lini????!!
ReplyDelete