mpende mkeo ubungo; mia kavaa...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Hehehehe! hahahaha!
    Maisha bora kwa kila Mtanzania!

    ReplyDelete
  2. TBS HAPO VIPI??!!!...blaza mchuzi post na zile BRAZ na UNDERWEARS zinazokuwa spread in the SAME MANNER...chupi mia! "za leo, za leo!!"...mh!

    ReplyDelete
  3. michu umenikumbusha mbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaali!
    ney-bham

    ReplyDelete
  4. Du kazi ipo hapo ukipata kiatu cha mguu mmoja kukipata kingine itabidi uchukue masaa kibao.

    ReplyDelete
  5. Michuzi umenifurahisha leo. Huo msemo wako. "Mpende mkeo, mia kavaa. Nimecheka kwa raha ulionipa

    ReplyDelete
  6. Duuh bongo maisha poa ndugu zangu mia kiatu kizuuriii kama cha "Faith" au "clarks"..

    ReplyDelete
  7. hahahaaaaaaaa, yani michuzi umenichekesha sana na hii pic, yani nimecheka hadi machozi yamaneitoka,

    kama alivyosema mdau mmoja hapo juu, mpaka upate kiatu cha mguu mwingine ni kazi kweli kweli, bongo maisha ni raha sana, yani bado nacheka... hii ya mwaka kweli, halafu michuzi ukavizia hao wakaka wa watu ndo ukapiga picha, mie najuaga wa dada tu ndo wanasagula sagula, kumbe watu kaka nao pia,

    kaka pendeni wake zenu jamani, ni jambo zuri...

    ReplyDelete
  8. Michu!Hawa wauza mitumba inabidi kufunga viatu kwa kama katika 'pair' ili kuondokana na usumbufu wa kusagulasagula..Lakini hata kiwanya kunasehemu za sagulasagula..mie nafahamu amerika kuna sehemu inaitwa Ross au TJ Max. Uk kuna kariako huko, pale sherperdbushi...!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...