
mpiga kinanda wa akudo impact andrew sekidia akiwa kazini jana klabu ya msasani beach ambako bendi hiyo iliyokuja juu ghafla inatumbuiza kila jumapili na kukuna washabiki kwa mtindo wao wa 'pekecha-pekecha' ambao ni gumzo kwa sasa jijini. wana akudo watakuwa a-taun ama arusha iddi mosi kwa hiyo wadau wa huko kaeni mkao wa 'kupekecha' na kucheza 'kijotijoti' mitindo ambayo imebuniwa na bendi hii
Yaani leo michu umekwachu kweli kweli!!!
ReplyDeleteHuyo jamaa ananikumbusha mbaaaaali enzi zile za diamondi saundo na kibodi yake ,lol!!kweli siku hazigandi!!
Haya wazee pekecheni vema halahala mijipekechue na nyie manake hamchelewi nyie!!
kazi nzuri
Endrew Kiboda, mwana ubungo mamaaaa...
ReplyDeleteLong time mzee kiboda tangu pale NHC nyumba ndogo,the orginal Daimondo saundo. alikuwa na mstaiki mea wa jiji alan Mulumba kashama, alikuwa na ibonga katumbi Jesus, Kamuke sukari, Mariam mamalao. Hiyo ni orginal dimond