Home
Unlabelled
shari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi,
ReplyDeleteSasa naona kazi imekushinda.Funga tu blogu mzee,umechoka naona.Hiki nini sasa?
Mambo ya Match stick men hayo. Click hiyo picha ikifunguka kwenye browser yako ndio utaelewa
ReplyDeletekweli kashindwa kazi. Halafu anaonekana kufagilia sana watu walioko nje ya nchi wakati ni choka mbaya. Unakuta anatuwekea picha ambazo hazina maana bor tu ziwe za Texas, Holland, etc
ReplyDeletehii fight si mchezo!!!!
ReplyDeleteanawafagilia wa nje kwa sababu nyie mlioko bongo hamna jipya kazi kuchonga tuu.maendeleo kunywa bia na kuendesha balloon wakati wenzenu huku bmw x5 ni kitendea kazi. keep it up bro michuzi.
ReplyDeletehio fight ni funny. Michuzi hapendelei walio nje wala nini! wewe uliye tz umetuma picha akakataa kuitundika?
ReplyDeleteJamani sasa naona kuna watu wanapenda tu majungu, au hao jamaa wawili hapo juu wameshindwa kuifungua hiyo fight, kwanza inafurahisha, hafai mtu kumlaumu michuzi kwa hilo. Aisee, michuzi endeleza libeneke, na watu wa majuu endeleeni kutupatia vimbanga kama hivi, achana na wabongo wana comments za ajabu ajabu tu wakati hawana jipya
ReplyDeleteEID MUBARAK
Jamani hiyo fight inachekesha sana. Hiko kijamaa chenye red mbona ni kijinga hivyo? Mwanzoni mwanzoni mwa game kanajiangusha chini chenyewe bila hata kuguswa, pili, pale ukuta unapoanguka kanachukua fimbo na kumrushia kajamaa cha blue, kisha na chenyewe ninachukua fimbo nyingine tena. Hovyooo. Lazma atakuwa ZERO huyo. Game inafurahisha sana.
ReplyDeleteKwa s6tyle ya ngumi hizi nani bigwa?
ReplyDelete