injinia augustine kowero (shoto) toka wizara ya mawasiliano na uchukuzi akizindua stempu mpya iliyotengenezwa maalumu na shirika la posta kwa kushirikiana na takukuru ikiwa ni kampeni ya kupiga vita rushwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kuuliza si ujinga. kwani injinia ni taito kama dokta? Ninauliza hivi kwani sijawahi kuona watu ambao si waafrika(tanzania) ambao wanaanza kwa kuandika injinia halafu jina.

    ReplyDelete
  2. We Mbwiga Engineer (aka Mhandisi) ni title. Imepitishwa mwaka juzi na Bodi ya Wahandisi Tanzania kwamba wahandisi wote waliosajiliwa na bodi hiyo wanatakiwa kutumia title ya Eng. kabla ya jina.

    Mfano. Eng. Mbwiga wa Mbwiguke.
    Au kama mhusika ana title nyingine ya juu, mfano Dr. ile title ya juu itatungulia.

    Mfano. Eng. Dr. Mbwiga wa Mbwiguke

    Kuhusu title hiyo kutotumika nchi zingine huo ni utaratibu wao. Wakipenda wanaweza kuiga Tanzania, sio lazima kila kitu kianzie nje.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...