hawa ni baadhi ya wanafunzi wa tsj wa 1994-96 ambao darasa lao la diploma ya uandishi wa habari ndilo lililokuwa la mwisho kabla chuo kuhamishiwa kijitonyama kutoka ilala shariff shamba. waliosimama toka kushoto ni bakari mkhondo ambaye yupo uhuru na mzalendo, hanna maige (rtd) munde mirambo (yuko london), carol bennet (sina uhakika aliko), amabilis batamula (femina), bahati iddi nzimano (dada wa tabora asiye na mikono alikuja kutembelea chuo), fatma msiyu (sina uhakika aliko) farida kipingu 'mnyarugusu' (yupo dar), nelly mtema (daily news), saida msumi (channel 10) mwajuma (msaidizi wa bahati), kohiya kibanga (yupo dar).
chini toka shoto: semkae kilonzo (karudi bongo majuzi), esther banda (yuko kwao zambia), mdau (anabangaiza dar) na asha muhaji (posta, dar). mchakato unafanyika alumni hii na zinginezo za chuo hicho kukutana pamoja siku za karibuni
Naona Mdau enzi hizo mikonozz ilikuwa hakuna japo umezungukwa na bintizz bomba.
ReplyDeleteHiyo rtd ni retired au ni Radio Tanzania - Dar?
Michuzi,
ReplyDeleteAsha Muhaji is my former school mate of Jangwani, we used to hang out 2gether, Unaposema yuko Posta una maana anafanyia shirika la Posta au? Namtafuta sana. Asha nicheki kwa hii email please kama ukisoma blog hii, Au Michu tafadhali mpe Asha email yangu tabunot@yahoo.com.
Duh Michuzi noma sana..sasa wengine unawapiga tuu .."yupo Dar" yaani wapo wapo tu au? Naomba kuuliza, manake wengine uwapiga wapo Daily News, Uhuru na RTD
ReplyDeleteHi Michuzi aaa picha imenikumbusha mbali sana 2 people are missing Petty na Chahali siwaoni! mdau Ohio
ReplyDeleteSemkae,
ReplyDeleteKumbe utapeli/Usanii ulianza zamani..angalia hayo macho..!! Du..umetoka mbali kijana...!! Kaka michu nawe umetoka mbali pia....!! Haya Semkae..binamu hapa..USA-CA utajaza kwenye mabox yako...ha ha ha...!!
Bro Michuzi, siwaoni Mama H na Marehemu Kikuzi hapo! Nakumbuka mlikuwa nao.
ReplyDeletedu kumbe munde si mdogo ehhe
ReplyDeletemichuzi petty msechu yuko wapi siku hizi she was ma sister's best mate
Michuzi mbona simuoni na Hariet Kiama?hamkuwa naye pamoja?
ReplyDeleteSemkae Semkae uoe sasa umri unakwenda kaka hawaishi hao ohoooo, mtoto wako kakua huku. hahaha sijui unamkumbuka maana duh...
ReplyDeleteMdau UK jirani yako utanikumbuka.
majina mengine umechapia,koiya umeandika kohiya.hivi huyu koiya kibanga siana ulaji ikulu? atutafutie nafasi kwa jk!
ReplyDeleteSemkae baba nilikuwa nakutafuta,......mwanetu ana miaka tisa sasa......chereko chereko...uko wapi nilete mjukuu wa Prof......yerewiiiiiiiiiiiii.....
ReplyDeleteUmerudi lini....Michuzi jamani....
asante sana kwa kunionyesha DNA ya mwanangu iko karibu na mie.
"YOU ARE THE FATHER".What's your number?
Just playing.....gotcha!!!!Neighbour
michuzi we ni noma!!!!!!!!!unaweza kunipatia namba za kila mmojawapo ? hususa kipenzi changu koiya ni muuliza habari za mtoto wangu na yupo ofisi gani. fanya hima kaka nikapime DNA.
ReplyDeleteKaka michu umenikumbusha mbali sana... huyo semkae enzi zile alikuwa sooo sana.. alikuwa anawachanganya farida na munde! hahaha! kama kuwa na watoto atakuwa nao nje kibao tu..... kaka michuzi ebu niambie jamaa yuko bongo wapi na anafanya nini... nimtafute.
ReplyDeleteMichu Carol Benet yupo Dar kwa sasa baada ya kuishi Geita na mumewe Eng Paul Mndeme ambae anafanya kazi TRA HQ.
ReplyDeleteKweli watu wanatoka mbali... yani semkae ulisomaga diploma now una PhD! respect ndugu yangu..
ReplyDeleteWe Kilonzo hebu nenda kamalizie kimeo chako cha PHD ulidhani mchezo!!! hiyo wanayosema hap-a labda ya Ukware, maana we ndio Mpare hasa. lol... Mkwe hapa.
ReplyDelete