Home
Unlabelled
turkey
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Dr Hanifa black beauty. Naomba tuswali wawili baada ya mfungo.
ReplyDeleteMichuzi, niko tayari kuslimishwa na huyu Dr
MASH ALLAH! Dada kama hujaolewa bado naomba nikuoe mimi please. You look so beautiful
ReplyDeleteMashaallah. umependeza mwenyewe.
ReplyDeleteEid njema kwako pia.
Dr Hanifa, una mpango gani na kuachana na kuvuta sigara. Nilipoona picha yako tu na hasa mdomo wako nikajua ni mdomo wa sigara, maana sisis wavuta fegi tunajuana. Achana nazo, zinaunguza mapafu
ReplyDeleteyes yes yes m2 wangu hanifa aaahh sory doctor Hanifa..nafurahi kuona unawakilisha hapa nyumbani ubatani..poa sana..sasa najua hapo istanbul mnajiandaa sana na Eid ila kwa kweli nakwambia mwaka huu hamtuwezi kabisa hapa Ankara mambo tulioandaa sio mchezo,tumechanga kama dola 1000 kwa sikukuu,kwa hiyo huku tuko full...berberque kama kawaida...si unamjua yule Redish basi ndio anashughurika na mambo yote na pia alikuwa na mpango wa kumualika Tarkan huyu mwanamuziki mashuhuri wa hapa aje nyumbani kuburudisha...njoo huku uje ule mangal...mwambie faraji mwaka huu ni wetu na tumeandaa mechi hapa ya east Africa..yan sisi watanzania tutacheza na wakenya na waganda..njooni wote mnakaribishwa,kama usafiri kuna gari inaweza kuja kuwachukua hapo,kama mnataka chochote semeni hapa vipo...i miss u all...
ReplyDeleteYAONE VILE MAJITU MAZIMA ETI AAA TUSWALI WAWILI BAADA YA MFUNGO.MARA OOOOH NAOMBA NIKUOE PLEASE.HIVI NYINYI AKILI ZENU HUWA ZA PANZI EEE.MKIONA TU PICHA YA MTOTO WA WATU KATULIA.HAMCHELEWI KUTOA POROJO ZA NDOA.HOVYOOOO KAMA
ReplyDeleteNYANYA MBOVU.KWANZA JIFUNZENI KUULIZA MTU MARITAL STATUS YAKE.KWANI UMESIKIA ANATAKA MCHUMBA HAPA.MKOMENI DADA WA WATU
Maashaallah Dr Hanifa waonekana mrembo na mtoto mwenye maadili aliyetoka kwenye mifupa wa wazazi waadilifu..cheeer my love
ReplyDeleteEid mubarak to you too
Michuzi hebu niunganishe na huyu dada kama yuko single, niko tayari kabisa kutoa mahari na kufanya vitu kihalali 100%, sitaki fitna yeyote. Dr. Hanifa are you single? Doh Mash Allah, why can't more Muslim TZ girls be like you
ReplyDeleteKWAKO PRINCE JUNIOR,
ReplyDeleteHivi wewe prince J ni mwanamke au mwanamme??Lugha yako ya kimaandishi unaonekana ni mwanamke na jina lako linaonekana mwanamme.Sasa kama wewe ni men wivu wa nini binti akitafutwa humu???kama wewe ni mwanamke kwa nini hutumie jina la kidume???Au ndo mambo ya "...Tanga kunani pale mbona ni karibu na Mombasa Tanga..."
Njoo Massachusettes USA utapata wa size yako prince Junior
nasi tunakutakia eid njema yenye mafanikio.inshallah allah atukubalie saum,dua zetu na atuongoze kwenye kila la heri-wise A(izmir)
ReplyDeletekwako tena prince junior
ReplyDeletealhabiby lugha yako inatutia aibu vijana wenzako eti "HOVYOOOO KAMA
NYANYA MBOVU" utatufanya watu tujiskie vibaya kusema tunasoma nawe eski shehiri. watatudhani tunabonyeza kizenji buree kumbe wala hatuna mambo hayo.
sometimez utufikirie na sie wenzio,
EID NJEMA ALHABIBY prince and every one
DR. HANIFA MOLA AKUZIDISHIE KILA LA KHERI. ENDELEA KUPENDEZA HIVYO HIVYO NA PIA UWAPE MOYO NA MFANO WANAWAKE WA KIISLAM WENGINE, KUWA MFANO WA ELIMU NA DINI, KAMA VILE ALLAH SWT ANAVYOTAKA. MASH ALLAH
ReplyDeleteWE ANON WA HAPO JUU KAFE NA UKIMWI WAKO ETI UTATUFANYA TUJISIKIE VIBAYA.KAZI KWELI KWELI.NADHANI MSHKAJI UNAEMSHAMBULIA HAPA NIMESHAMFAHAMU.YULE NI BONGE YA MTU
ReplyDeleteHAWEZI ANDIKA UPUUUZI HAPA.WE NDIO FALA KWELI KWELI.MAANA UMEONA PRINCE JUNIOR UKADHANI NI YEYE AMEANDIKA.NDIO MAANA HADI LEO BADO UNAFUGWA HUNA MAISHA HURU DOGO.NIMESHAKUFAHAMU BAADA YA KUONA
IP YA KOMPYUTA NILIPOCRACK MESEJI HII.LAKINI NDIO UTOTO UNAKUSUMBUA
KILA LA HERI.
HALOOO WE MICHUZI NIMEFURAHI KUINGIA GLOB OOO SORRY BLOG YAKO KWA MARA YA KWANZA.UNAJUA MIMI NINA MAIL YENYE MANENO KUTUMIA PRINCE JUNIOR SASA MSHKAJI MMOJA KANIPA HABARI E BWANA WE NDIO ULOANDIKA MAIL YA KUWAZODOA JAMAA WALIOTOA COMMENTS ZA DA HANIFA? NIKASEMA HATA SIJUI.AKASEMA WAMEKUSHAMBULIA KAMA NINI.
ReplyDeleteKUINGIA NIMEVUNJIKA MBAVU KAKA
SI UNAJUA UPO MTAANI MARA ASKARI WANAKUDAKA NA KUKUPA KESI.BASI NDIO HIVYO.WALLA SIJUI.KWANI WATU WAKITUMA MSJ KWAKO WANAANDIKA NA MAIL AMA? MIMI NDIO KWANZA NAJARIBU
HII LABDA ITAFIKA.ILA NDIO UKUBWA
ANGALAU MTU UNAJUA ''THE HIDDEN ENEMIES'' WAKO WANGAPI ANGALAU KWA NAMBA.DUH KAZI KWELI KWELI.MIMI NI
GADNER HENRY-KARIAKOO DSM
HALAFU WEWE SIJUI ANON WA ANKARA ETI TUMECHANGA ZAIDI YA DOLA 1000
ReplyDeleteNA SIJUI MWANAMZIKI NANI ATAKUJA..KWANI HAPA NDIO SEHEM YAKE YA KUONGEA.KWANZA MNA HELA WAPI NYINYI MNASOMESHWA MASKINI WA KUTUPA.SISI TUNAIJUA TURKEY WEWE.USITUZINGUE HATA KIDOGO.MNA WAYA MKALI SANA WENGI WENU MNAOKAA ISTANBUL,ANKARA NA IZMIR MNAUZA DRUGS.TUNAJUA HILI.WENGI MNAJIFANYA WATU WA DINI LAKINI KWA
''MIZIGO'' MNATISHA.HALAFU HUYU DADA HAJAONYESHA KAMA ANATAKA MTU.NAMUUNGA PRINCE JUNIOR KWA MAWAZO SAFI.KWANZA ULIZA MARITAL STATUS THEN ENDELEA NA UPUUZI WAKO.PRINCE WAPE UKWELI WAO VICHAA HAWA.HALAFU KAMA WEWE NI PRINCE JUNIOR YULE MGANDA ANAESOMA BURSA
TUWASILIANE.
Hivi mnajua anatafuta mchumba huyo au mate uroda tu. Kila mnaemuona mwasema umri umekatika huyu kwa vile keshakua doctor kila mtu anamtaka...Hamjali hata umri tena?
ReplyDeleteKWAKO KAKA MICHUZI,ASALAAM ALEYKUM.
ReplyDeleteNIMETUMIWA LINK HII NA RAFIKI YANGU ALIYEDHANI NI MIMI PRINCE JUNIOR WA ESKISEHIR NDIO NILIANDIKA
COMMENT KUHUSU PICHA YA DADA YETU.
UKWELI NI KUWA MIMI NI MWANAFUNZI
NINAYESOMA HAPA UTURUKI.SASA MIMI HUTUMIA PRINCE JUNIOR AS MY PEN NAME LAKINI SIKUWA NIMEANDIKA COMMENTS ZOZOTE PREVIOUSLY HADI NILIPOPATA MSJ KUTOKA KWA RAFIKI YANGU AKINITAKA NICHEKI LINK HII.NAWEZA KUSEMA HIVI
1.SIKUANDIKA MAONI YEYOTE HAPA NA LEO NDIO MARA YA KWANZA
2.KWA HAKIKA DADA ALIYE KTK PICHA
HII SIMJUI NI MARA YA KWANZA KUMUONA HAPA.
3.SIWEZI KUWEKA COMMENTS KUHUSU MTU
AMA TUKIO NISILOLIJUA
4.KWA HESHIMA YA ANON ALIYEANDIKA
''UNATUABISHA WENZIO WA ESKISEHIR''
AJUE KUWA HUWA SIPO KATIKA MABISHANO YA NAMNA HII NA PIA AJUE
MIMI NINA MAMA,BABA,NA WADOGO ZANGU TU.SIJUI NA WALA SITAKI KUWA NA NDUGU KAMA YEYE(HUYO ANON ALIYEDAI YUPO ESKISEHIR INGAWA SI KWELI)MAMBO YA UNDUGU WA KU-''INTERGRATE'' SIUTAKI NA UNIPITIE MBALI AJIFUNZE KUWA MSAFI SIO WA MASHATI NA TISHETI TU BALI MOYO WAKE.ASIRUKIE MATUKIO NA KUYATOLEA COMMENTS BILA KUJUA UNDANI AU UHALALI WAKE
5.SI KWELI KUWA WANAFUNZI WENGI WANAOISHI KATIKA MIJI MIKUBWA HAPA
TURKEY NI ''DRUG TRAFFIC AMA DEALERS'' KAMA ANON MMOJA ALIVYOTAKA IELEWEKE.KILA MTU ANAJITAHIDI KUISHI KWA KWA NAMNA
ALLAH ALIVYOMPA RIZIKI KAMA WAPO
WANAOUZA UNGA BASI HIYO NI KAZI
YA NARCOTIC TEAM KUWAGUNDUA SIO
KUWAPAKA MATOPE WANAFUNZI WOTE WA
TURKEY(TUKITULIA MAANA YAKE NI KWELI)
6.TUNA JUMUIYA YETU NA INA MFUMO
WA MAWASILIANO WA KISASA KABISA
SIONI KWA NINI MWANAJUMUIYA AKAANZA
KURUSHA MANENO HAPA WAKATI SIO MAHALA PAKE.HAPA NI BLOG INAYOLETA VITU VYA MAANA ZAIDI NA SIO KURUSHIANA MANENO KAMA MAJIRANI
WENYE CHUKI.
7.NAWATAKIA KILA LA HERI WADAU WOTE
WA BLOG HII DUNIANI KOTE.TUWEKE MAWAZO ''CONSTRUCTIVE ZAIDI'' TUACHE UTANI NA UONGO KILA WAKATI
8.WABONGO WENZANGU WAJUE SIO KILA
PEN NAME YENYE PRINCE NDIO MIMI.
EID MUBARAKA.
KILA LA HERI MICHUZI
P.Jr-ESKISEHIR-TURKEY
HALAFU HAWA WABONGO WALIO TURKEY
ReplyDeleteHAWANA BROTHER-HOOD KWELI KWELI
WAMEANZA KUSHAMBULIANA KAMA NINI.
HIVI HUKO HAKUNA CHANCE YA KUWA NA
BLOG YENU AMA HATA YAHOO GROUP MMEBOA KICHIZI.MNAONEKANA KAMA
WASWAHILI.HUYO MTU MMOJA HAJAANDIKA
HATA LOCATION MMEANZA KUMSHAMBULIA
KAMA NINI.INGAWA HAJASEMA KITU
CHA AJABU.HAPA ULAYA PIA HUWA
TWAULIZA MARITAL STATUS KWANZA
THATS TRUE.EBU KAMA MNA CHUKI ZENU
MTUONDOLEE UJINGA WENU
WOTE WAJINGA LABDA MSHKAJI ALIETAKA
ReplyDeleteWATU WAWE NA MAWAZO CONSTRUCTIVE IDEAS LABDA NDIO KAONGEA CHA MAANA
KIDOGO.ILA WENGINE NAONA WANA CHUKI
ZAO BINAFSI SASA WANADHANI HAPA
NDIO PA KULETA FITNA ZENU MLIZORITHI TOKA KWA WAZAZI WENU
AU LABDA KWA MAJIRANI.SIJUI MANENO
YA KIKE SIJUI YA KIUME..UPUUZI MTUPU
HALAFU WEWE P.Jr UMEONGEA
KITU CHA MAANA SANA.HUKU ULAYA
KUNA WATU HUWA WANATAFUTA UNDUGU
KWA NGUVU.YANI WA INTERGRATION
NIMEFURAHI HUKUTUMIA MATUSI AU
LUGHA MBOVU.BIG UP MAN
WAAMBIE WAJINGA WAJINGA HAO
WASTAARABIKE WASIWE KAMA YALE
MATURUKI YA SHAMBA YANAYOTUKANA
WATU HASA WEUSI KILA WAKIWAONA.
KUWENI NA BROTHERHOOD ACHENI CHUKI
HAZITAWAPELEKA POPOTE MASELA.
ISITOSHE MMEMALIZA KUFUNGA JUZI
TU MMEANZA TENA SIYO?
PRINCE THANKS FOR GOOD COMMENTS
ReplyDeleteNA NI BORA UMEONYESHA USTAARAABU WA HALI YA JUU KUKANUSHA HAPA
MOJA KWA MOJA.NA ALIYEANDIKA NI
YULE YULE KAMA UJUAVYO
ACHANA NAYE MAANA MUDA SI MREFU
SHULE ITAMSHINDA NA ATATAFUTA VIZA
AU ATAJILIPUA KAMA MKIMBIZI
WE ENDELEA NA SHULE YAKO KAMA
KAWA KAKA PRINCE Jr.ACHANA NAO
HATA WATURUKI WANA MSEMO
''AL ELMAYA TAŞ ATAN COK OLUR''
YANI MTI WENYE APPLES NZURI NDIO
HUTUPIWA MAWE ZAIDI.LITERALLY
MTU SAFI NA ANAYEJITAHIDI WABAYA
NDIO HUONGEZEKA KUMTUPIA MAWE
NA MATOPE.KWANI AKIWA MCHAFU
HAKUNA HAJA YA KUMTUPIA KATIKA
MATOPE.
MWAMBIE UKWELI NA AJUE USAFI SIO
MATISHETI YA KIMAREKANI TU BALI
AKILI NDIO MUHIMU NA BORA NGUO
ZICHAFUKE SIO AKILI KAMA ZAKE
KILA LA HERI.TUFUNGE MJADALA
ACHANA NAO WANA WIVU WA KUDHULUMIWA
TANGU WAKIWA BONGO.TUNAWAJUA NA
TUNAZO DATA ZENU ZOTE.ITS A MATTER
OF TIME.
weye ni real prince na nakupa hongera kwa kumjibu kistaarabu huyo alokupaka matope.
ReplyDeleteachana nae tumeshamjua na karibuni tu atakuwa hayupo tena hapa uturuki kwani university imeshamshinda na amebakia na choyo na chuki kwa sisi tunaondelea.
achana nae hana mpango huyoo