baada ya mapumziko ya mwezi mzima na kujifua upya twanga pepeta wamerudi kwa kishindo na nyimbo mpya kibao, shoo la kufa mtu na pamba nzito. hapa ali choki akighani huku shakashia na kizunga wakimpa tafu usiku huu pale mango gaden kinondoni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Michuzi tuwekee picha za harusi za JK nasimia ameoa? ni kweli au umbeaya? usinibanie misupu!

    ReplyDelete
  2. katika pitapita zangu nimeifuma hii komment ya mkereketwa hapo juu.. lol JK gani ameoa? mbona JK ni wengi? tuhabarishane jamani mimi niko mbali mwenzenu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...