pamoja na kupingana kiitikadi lakini lipokuja swala la kitaifa wabongo huwa wamoja...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. sijuuui!!...WHATS IMPORTANT NI YALIYO VICHWANI MWAO!!!...to me OUTWARD SHOW is of little essence...

    ReplyDelete
  2. ...fragile UTAIFA...there is a dark MUAFAKA cloud hanging utosini kwa makamba hapo...tusidanganyane na wala tusiwe wanafiki...HAKUNA CHA UTAIFA HAPO!...hicho kigurupu hakipikiki chungu kimoja

    ReplyDelete
  3. SHEMAKAMBA NAONA UNAJIFANYA UKOKARIBU NA MAALIM SEIF, WEWE MZEE WA PEMBA HUYO MTAMNYIMA URAISI SAWA, LAKINI NDUMBA ZENU ZINAGONGA UKUTA KWENYE HICHO CHUMA.

    ReplyDelete
  4. Tupe majina basi kutoka kushoto ni.....????

    ReplyDelete
  5. Hapo mZee Al-maarufu Maalim Seif anafikiria mawazoni mwake anasema He wish angekuwa ndiyo rais angeanzisha kambi ya watu wa kujitoa mhanga ili akilipue CCM. But it's ok wananilipa mafao yangu.

    ReplyDelete
  6. WEWEEE HAKUNA UTAIFA WALA UTIIFA HAPO.SOMA BODY LANGUAGE UTAJUA.HAPO
    CCM WANAZIDI KUPOTEZA WAKTI HADI 2010 WAJE TENA NA YALE YALE VIRUNGU
    NA MASANDUKU YA KURA TAYARI.NAJUA WEWE NI CCM DAMU MICHUZI HII HUTOITOA HATA CHEMBE.NA MIMI SITOKI KTK BLOG HADI KIELEWEKE.
    WAAMBIE MAFISADI WOTE WANA MWISHO WAO HIVI KARIBUNI.SUBIRI BADO KIDOGO

    ReplyDelete
  7. Nakumbuka lipo swali moja la siasa liliandikwa hivi: SIASA NI UONGO WENYE UKWELI NDANI YAKE, JADILI?
    Kwa mwanasiasa atasema `easy' na ataanza kubwabwaja sera zake na kuwapata wafuasi, lakini kwa mwanafalsafa atakuna kichwa mara mbili huku akijiuliza jinsi ya kuyaunganisha maneno hayo mawili yakae kiti kimoja, UKWELI NA UONGO..
    Hivi kweli, UKWELI na UONGO unaweza ukakaa kiti kimoja wajameeni...? Kazi kwenu wanasiasa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...