
jk akiwa na waziri mkuu mh. el, makamu wa rais dk. ali mohamed shein na mawazir na manaibu mawaziri baada ya kufanya mabadiliko madogo kwenye baraza lake ambapo mh. salome mbatia (njano) alibadilishana na mh. dk. batilda buriani (kilemba) wizara ambapo yeye mh. mbatia alikwenda wizara ya maendeleo ya jamii, jinsia na watoto


RIP Salome. You were one of my role models.
ReplyDeleteJamani miundo mbinu isipotengenezwa itamaliza hawa mawaziri. Kwa sababu sasa hivi wanatakiwa kwenda kila mkoa kuelezea bajeti na barabara ni mbaya ajali ngapi tunangojea? JK kuwa mwanaume tenga Billion zote unganisha mikoa yote uone uchumi utakavyokua. Hakutakua na haja watu kukimbia Dar tu. Mtu atatoka Mwanza uza mazao yake asubuhi Kariakoo jioni yupo Mwanza tena. Miundo MBINU JAMAAA!!!!
ReplyDeleteMichu hii heading inatu confuse the way you wrote kama huu uteuzi umefanyika leo, bora ungeweka kama part ya kumbukumbu..najua umepanic kwa msiba pole na watanzania wote kwa ujumla.
ReplyDeleteJamani suala la ajali linatisha, it appears big source ni ufinyu wa barabara now its a time serikali ifikirie kupanua barabara ajali zote za face to face cause yake ni ufinyu wa barabara ukichangiwa na uendeshaji mbaya.
Ndugu Michuzi nakuheshimu sana lakini umenishangaza na uamuzi wako wa kuamua kumpa Mheshimiwa waziri mkuu jina la utani la "el", come on man, at least u could b mo creative and call him "wassa boy" au "eddo" kama wengine wanavyomwita. its nice to try to b original but its nicer if there is sum creativity in it. B gud bru.
ReplyDelete