viongozi wote wa juu walikuwepo uwanja wa ndege wa julius nyerere dar kuupokea mwili wa hayati salome mbatiau kitokea iringa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. ...ee bwana hii picha ilibidi nicheke na imenikumbusha mbali sana...yaani ni vikaunda suit bongo kila mtu kwa kwenda mbele,ukweli kuona mtu kavaa kaunda states ni nadra sana naweza kusema sijawahi kuona

    ReplyDelete
  2. anon wa fri.oct 26 1:29:00 PM EAT hujui kaa hizo ndo uniform za vishushushu vya ikulu ya bongo ohooo!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...