watoto wa marehemu salome mbatia wakisaidiwa kwenda kuupokea mwili wa mama yao leo dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. RIP.

    Mbona habari za dereva wake hazipo, Je walimsafirisha vipi kwenda kwenye familia yake. Tungependa kujua kote, huo ndio uzalenda. Poleni sana wafiwa nikitu cha kusikitisha. Siku zote tuwe tayari na kutubu.

    ReplyDelete
  2. Poleni sana familia ya Mbatia jamani, najua ni vigumu kusahau ila Mungu wetu awape nguvu na faraja hasa katika hiki kipindi hiki kigumu.
    Rikkemike@gmail.com

    ReplyDelete
  3. poleni wafiwa, michu wazo la derevalina ukweli wake.........

    ReplyDelete
  4. poleni sana wafiwa,pole Yolanda ufwate nyayo za mama yako.alikuwa mtu mzuri asiyependa makuu.
    Mungu awatie nguvu katika kipidi hiki kigumu

    ReplyDelete
  5. mungu amlaze mahala pema peponi..AMEN.

    ReplyDelete
  6. Poleni sana jamani, Yolanda fuata nyayo za mama yako,i know u re born to be a leader too and ure very upright just like her,dnt be dismayed may the almight God strengthen u ,r dad n re young ones
    G

    ReplyDelete
  7. Mungu awape nguvu jamani !!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...