ile wikiendi ya kutoa asante inayosubiriwa kwa hamu sana na wadau wote wa h-taun huKo texas inakaribia kwa kasi na waandaji wanasema atakayekosa asilaumu mtu. utamu zaidi wa ratiba na mengineyo nenda http://www.htownworldwide.com/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. naona htaun wanaasila

    ReplyDelete
  2. hawa wamejiandaa vema this time

    ReplyDelete
  3. jamani jamani!! competition sio competion. huko houston hamna spelling bee?

    ReplyDelete
  4. mwaka huu asikuwa na VISA abebe jiwe kwa maana h-town wanafanya kufuru...nasi hapa hatupo nyuma tunajiandaa kuiwakilisha KANSAS CITY vilivyo...itakuwa vumbi tupu weekiendi hiyo
    kasera

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...